Recent content by Eman Abiud

  1. Eman Abiud

    JamiiForums Tanzania Orodha ya biashara kwa mtaji kiduchu zenye uhakika wa kukulipa awamu hii ya tano

    THE LIST Uko vizuri! Wakati naendelea kusoma uzi wako Nimejikuta Navutiwa kusoma zaid masuala ya Uchumi... Hakakika ningekutana na vichwa vitatu tu.. Vyenye mawazo kama yako, na baada ya hapo vikanipa dozi kama hiyo kutwa mara moja tu.... Ndani ya siku 5 ningekuwa mbali sana! Barikiwa sana mkuu!
  2. Eman Abiud

    JamiiForums Tanzania Programming Language ipi ni nzuri ?

    Html inatengeneza app gani?
  3. Eman Abiud

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na Certificate ya IT unaweza kusoma Diploma ya Umeme?

    Wakuu poleni na majukumu mbalimbali. kwanza kabisa niombe radhi kwa kuwasumbua kuuliza swali hili tena, kwani imenilazimu kufanya hivo kwasababu zamani kidogo tuliwahi kulijadili ila lilikuwa kwa namna ya tofauti kidogo! ila kwa leo nimeshikwa koo! swali: Inawezekana kusoma certificate ya IT...
  4. Eman Abiud

    JamiiForums Tanzania Nimepokonywa simu yangu na polisi

    Samehe tu...
  5. Eman Abiud

    JamiiForums Tanzania Nina ushuhuda mzito sana kuhusu huyu dada kupanda vyeo

    Kama ni hivo Sioi!!!
  6. Eman Abiud

    JamiiForums Tanzania IGP MANGU, Jeshi la Polisi limekushinda; ulinzi mchana, usiku je?

    Mkuu vituo vya Polisi vilikuwa wazi 24x7,kilicho badirisha mfumo nzima siku za karibuni kilitokana na uvamizi wa magaidi walio uua Polisi,Raia na kuiba silaha katika kituo cha SITAKISHARI, mkuu kumbuka Polisi nao ni binadamu,sasa unafikiri baada ya tukio hilo la kigaidi vituo vya Polisi...
  7. Eman Abiud

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Naona Changamoto na mtihani mgumu sana mbele yako

    Jamani tumuunge mkono badala ya kumkatisha tamaa .kila mmoja wetu popote alipo .tubadilike sasa Tumuunge mkono mtoa mada au Rais wetu Magufuli?
  8. Eman Abiud

    JamiiForums Tanzania Wanaume siku hizi wana Vitambi na Kitandani hawafanyi kitu

    Jaman tukiachana na yote Vitambi dili coz vinaleta heshima na kuaminiwa... Unaweza kukopa kitu kidogo ukanyimwa wewe usiye na kitambi lakin mwenye kitambi akakopeshwa.... 7bu wengi wanaamin mtu mwenye kitambi pesa ndo mahali pake... Tujitahid kuwa navyo kwa malengo ila...
  9. Eman Abiud

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wasichana wa Kizungu, Kihindi na Waarabu, wanavutia sana kuliko wasichana wa Kibongo?

    [QUOTE=cute b;14677285 Hahaaa umenifurahisa kinomaa!!
  10. Eman Abiud

    JamiiForums Tanzania Sifurahii kuwa 'single woman', sijui nifanyeje

    Akitokea mtu sasa hiv yan mda huuhuu .. Shida yake ikawa ni kuitoa TU hiyo ""Single woman"" Utakubali? Labda kwa mfano..
  11. Eman Abiud

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli mipira ya kiume (condoms) inapunguza uwezo wa kujaamiana?

    Ulichozungumza yaweza kuwa kweli kiasi flan.. Lkn tutafanyeje .... Hakuna anaependa kuharibikiwa na kuaribu malengo yake... Mi huwa nafurahia na nakuwa na ham ya love 7bu nakuwa nna uhakika kuwa nko salama...
  12. Eman Abiud

    JamiiForums Tanzania Wanaume siku hizi wana Vitambi na Kitandani hawafanyi kitu

    Laivu....
  13. Eman Abiud

    JamiiForums Tanzania Kifimbo cha Mwl.Nyerere (R.I.P)kilibeba siri gani?

    Hii yenyewe!
  14. Eman Abiud

    JamiiForums Tanzania Msaada, nipo tayari kufa kwa penzi la bar maid

    Mchunguze kwanza mkuu.. Kosea vyote ila sio kuoa... Utajuta..,
Back
Top Bottom