Msaada, nipo tayari kufa kwa penzi la bar maid

Msaada, nipo tayari kufa kwa penzi la bar maid

inawezekana hata hela ya pombe na ya kumuhonga barmaid unapewa nyumbani kama allowance
 
Yamenifika Happpa Naaam Mm nikijana mwenye Umri wa miaka 34 Mtaani kwetu kuna Bar moja maaru ambayo Nyuma kuna Grosary yule muudumu week moja iliyopita kamleta mdogo wake wa tumbo moja kutoka Nyumbani kwao(Kijijini) mm nimteja wake maarufu ila sio mara kwa mara ninakwenda pale.....Siku yakwanza kukutana na Mdogowake pale Kaunta(Sikujua kama ni mdogo wake wa Damu) sikuona shepu yake kisura tu nikasema Yes hapa nimefika!!! ile siku nakumbuka ilikuwa Jumapili nilikuwa na marafikizangu kama wa 2 hivi tulikunywa pombe tukafurahi ila yeye alisema hatumii kilevi chochote....Nikamtongoza Akanikubalia akanipa mawasiliano yake Tukaanziasha Mahusiano Amabpo Mpaka sasa yana Week Mbili kimwili ni zaidi ya Mara Mbili(2) nilikuwa namchukua nampeleka Guest (manaake mimi nakaa Nyumbani) tulipanga mengi nikaapa Mwaka haumalizi nitapanga na kumueka ndani kwani ki umri bado nimdogo 18yrs ila kajaaliwa umbo....nitaendelea

una miaka 34 unakaa nyumbani,,wewe ni boya,,week 2 mmejuana mshafanya mapenzi zaidi ya mara 2 wewe na huyo demu wote ni malaya,,acheni uzinzi mrudieni Mungu
 
wiki mbili umedata dogo muadithie mama yako akushauri
 
Yamenifika Happpa Naaam Mm nikijana mwenye Umri wa miaka 34 Mtaani kwetu kuna Bar moja maaru ambayo Nyuma kuna Grosary yule muudumu week moja iliyopita kamleta mdogo wake wa tumbo moja kutoka Nyumbani kwao(Kijijini) mm nimteja wake maarufu ila sio mara kwa mara ninakwenda pale.....Siku yakwanza kukutana na Mdogowake pale Kaunta(Sikujua kama ni mdogo wake wa Damu) sikuona shepu yake kisura tu nikasema Yes hapa nimefika!!! ile siku nakumbuka ilikuwa Jumapili nilikuwa na marafikizangu kama wa 2 hivi tulikunywa pombe tukafurahi ila yeye alisema hatumii kilevi chochote....Nikamtongoza Akanikubalia akanipa mawasiliano yake Tukaanziasha Mahusiano Amabpo Mpaka sasa yana Week Mbili kimwili ni zaidi ya Mara Mbili(2) nilikuwa namchukua nampeleka Guest (Manake mimi nakaa Nyumbani) tulipanga mengi nikaapa Mwaka haumalizi nitapanga na kumueka ndani kwani ki umri bado nimdogo 18yrs ila kajaaliwa umbo....nitaendelea


miaka 34 unakaa nyumbani ndo unapanga kuhama? duh mie nakushauli umchukue ukae naye nyumbani tuu wote muendelee kulelewa tuu maana hakuna namna nyingine

umri wako mkubwa akili yako ni ya miaka 18 pia kama huyo demu
 
Mwanaume gani unakaa nyumbani miaka 34? Unatafuta mke baa ukishalewa, kutafuta mke ukishalewa alafu ukasema anashep nzuri, ukinywa pombe unamkumbuka, ukananiliu naye zaidi ya marambili Guest....
HALAFU UNAKAA NYUMBANI!! no comment!
 
Daaaaah miaka yako na ya hyo dogo haviendan bado utoto utakuwa unamsumbua na ukitazama miaka yako inahitaj mtu wa kutulia nae hapo ngoma mbich
 
mkuu hama home aisee. 34 yrs mingi sana kukaa home
 
hahahaha hata mm naona ya me kufika hapaa
 
hahahahahaha miaka 34 uko nyumbani au una hati milk ya kuish hapo kwenu duh
 
ha ha ha wanajamvi kapunguza umri sasa hivi ana 24 so tupunguze kumshambulia ila hata huo umri wa 24 yrs halafu una kazi bado unakaa kwa mama yako ndio maana unatoswa mpk na barmaid unaonekana una mwelekeo wa maisha
 
Only a few real men are left...currently we have glorified boys calling themselves "men".
 
Back
Top Bottom