Polisi mkoa wa Ruvuma wamkamata mkazi wa kijiji kwa kuuza nyama ya mbwa

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,814
34,196
nyama ya mbwa.png

Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia mkazi wa kijiji cha Mbangamawe, kata ya Gumbiro, wilayani Songea kwa tuhuma ya kukutwa akiuza nyama ya mbwa na kwamba kuna baadhi ya wateja wake wamekula bila kujua”

Tupe maoni yako.
 
Kwan nyama ya mbwa n sumu...??

Alafu mm sijui mambo ya sheria hv kuna vifungu kimetamka kuhusu nyama wa kuliwa...??

Maana kuna watu wanakula mbwa na wapo wasio kula,
Kuna watu wanakula nguruwe na wapo wasio kula ..
Nk
Sasa sijui police imemshika kwa kosa gan??
Au aliweka tangazo la nyama ya ng`ombe kumbe ya mbwa so kosa n uongo au kuuza nyama ya mbwa n kosa..??
 
Wewe kweli M-Tanzania? au Mtu Kutoka Kenya? unajuwa Sheria za nchi yako kweli? Nyama ya Mbwa sheria za Tanzania haiuzwi ukikutwa unauza nyama ya Mbwa ni kosa la jinai.
 
Wewe kweli M-Tanzania? au Mtu Kutoka Kenya? unajuwa Sheria za nchi yako kweli? Nyama ya Mbwa sheria za Tanzania haiuzwi ukikutwa unauza nyama ya Mbwa ni kosa la jinai.
Day! hii kitu bwana. Lakini Luna mtu alikamatwa Singida akiuza nyama ya mbwa, kosa ikawa sio kuuza nyama ya mbwa, kosa lake ikawa anauza nyama ambayo haijakaguliwa kuona kama ni salama kama nyama nyingine zinavyokaguliwa. Hivyo shida siyo nyama ya mbwa, shida Hugo mbwa hakuwa na matatizo yanayoweza kuambukizwa kwa binadamu? Kwa hiyo ingepimwa tu basis ingekua poaa
 
Wewe inaonyesha sio M-Tanzania ninakufundisha Sheria ya Tanzania hairuhusu kuuwa na wala kuuza nyama ya Mbwa au nyama ya Paka ukikamatwa utafungwa jela. Huyo aliye uza nyama ya Mbwa anastahiki kufungwa jela kwa Sheria ya Tanzaniana asipofungwa Wananchi huenda wakachukuwa sheria mikononi mwao.
 
Wewe kweli M-Tanzania? au Mtu Kutoka Kenya? unajuwa Sheria za nchi yako kweli? Nyama ya Mbwa sheria za Tanzania haiuzwi ukikutwa unauza nyama ya Mbwa ni kosa la jinai.
Sheria hiyo mkuu iko kwenye penal code au sheria gani,je nyama ya punda kuuza ni kosa?kobe?kenge? konokono wa majini?panya?kiboko?ngisi?Elewa kwamba kuna watu wanakula vitu au nyama ambayo kwa mwingine ni kichefuchefu,nadhani kila mtu ana uhuru wa kula kitu au nyama kwa mujibu wa imani na mapokeo yake.Ndhani kumuuzia mtu ni kosa la kimaadili na sio la jinai.Kuna jamii tuaishi nazo wananunua na kuchinja mbwa na punda bila kificho na wanaparty za kula nyama za aina hiyo mfano Wakorea,wachina.Kama ni kosa mbona manyaunyau anachinja na kunywa damu za paka hadharani,mbona hajawahi kukamatwa kama ni kosa la jinai?
 
Kwa wale abiria wanaosafiri kupitia hiyo njia ya gumbiro kuelekea dar iringa,njombe,mbeya,smbawanga NK kazi kwenu
 
Mbona hatujasikia Iringi kuna mtu kakamatwa kwa hii biaahara au uhalamu wa kitu inategemea na maeneo husika?
 
Back
Top Bottom