Mkuu sababu ya wagonjwa kufariki usiku ipo kisayansi kabisa , kwa kuwa wagonjwa wengi wanaofariki muda wa usiku huwa wamedhoofu na mifumo yao ya upumuaji huwa imezidiwa katika kuchuja hewa chafu na safi (O2 na CO2). Hivyo basi kwa kuwa usiku huwa hakuna hewa ya Oxygen ya kutosha kama ilivyo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.