Hakuna Papuchi at zero cost

Olumolongez

JF-Expert Member
Dec 19, 2015
818
298
Ni vigumu sana mara nyingi haiwezekani kupata mgegedo haswa kutoka kwa michepuko bila gharama yeyote. Nawasilisha.
 
Wakati mwingine gharama ni matokeo ya mnachofanya.........i.e kufumaniwa, kulawitiwa, kupigwa, faini, au vyote kwa pamoja.
kwa akili hizi, unavyojibu vizuri km ungeweza jibu vizuri uko nyuma darasana, akya mama ungekuwa proffesa, hivi kwa nini akili nyingi na nzuri huja ukubwani?
 
ha ha ! hii imenichekesha sana bado hata beki tatu bado sio free papuchi coz kuna......magonjwa ya kuambukizwa kama gono nk, na mimba zisizotarajiwa....
Magonjwa ni dharura mkuu, sio kwenye papuch tu hata kwenye chakula unapata
 
Navizia mida wote wamelala afu nahamia rum kwake. Sasa huo muda ntazalisha nn
Muda wa kufikiria kufanya timing unakula muda wa kupanga mipango ya maendeleo. Hivi hujawahi kuona ni kwa kiasi gani mwanamke anakupa fake ahadi inavyoumiza hata BP kupanda? Kwa kipindi hicho unapoteza mengi ya kiuchumi
 
Kaka ukipata bek3 hutojutia ahad fake, wewe ni kuchek tu sebulen amna mtu unateleza tu rum kwake, unakuta mlango kaegesha, watanzania wengi mishe zetu ukiacha walioajiriwa ni mishe za dili , sasa dili unaiwazia usiku
 
Aksante sana nimekuelewa wewe unaongea kisomi mimi naongea kihiyo hivyo hakuna siku hata moja tunaweza kuelewana. Asante sana kwa majadiliano yetu na kwa topic hii nakuwa kama tatty
 
Aksante sana nimekuelewa wewe unaongea kisomi mimi naongea kihiyo hivyo hakuna siku hata moja tunaweza kuelewana. Asante sana kwa majadiliano yetu na kwa topic hii nakuwa kama tatty
Sijaongea kisomi mkuu.naongelea uzoefu wangu. Kuosha magar huna haja ya kuwazia usiku. Ni kuwah kijiweni tu
 
Back
Top Bottom