Unaweza kujifunza namna shimo hili la choo lilivyo jengelewa kiutofauti na ukafaidika zaidi

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Nov 18, 2014
424
1,044
Kumekuwa na ujenzi wa aina tofauti tofauti hasa ujenzi wa ( shimo ) katika ujenzi ambao nimejenga kama jinsi unavyoonekana hapo kwenye picha na video. Itanichukua muda kuchimba shimo lingine, hapo nategemea kutumia zaidi ya miaka 30+ mpaka napata na wajukuu litakuwa bado fit

Video nimeshindwa kuipandisha
IMG_20211112_104522.jpg
 
Kumekuwa na ujenzi wa aina tofauti tofauti hasa ujenzi wa ( shimo ) katika ujenzi ambao nimejenga kama jinsi unavyoonekana hapo kwenye picha na video. Itanichukua muda kuchimba shimo lingine, hapo nategemea kutumia zaidi ya miaka 30+ mpaka napata na wajukuu litakuwa bado fit

Video nimeshindwa kuipandishaView attachment 2046424
Haya yameshikiliwa na nini? Si yataanguka?
 
Hapana hayawezi kuanguka na hatujatumia Cement wala udongo kukazia mawe hayo ni yenyewe tu jinsi unavyoona pia ni bora zaidi na gharama ni nafuu kuliko kujengelea kwa Cement
 
Ndg shimo hili haliathili chochote ikiwa utahitaji kuchimba kisima au kama kutakuwa na kisima! Unachotakiwa kuzingatia kabla hujajenga shimo la namna hii kwako ni....

Kama shimo litaanza kabla ya kisima basi hakikisha kisima unachojenga/utakachochimba kiwe umbali wa hata wa hatua tatu hadi 5 hakutakuwa na madhara kwani hata ukiita wataalam hapa watakupa namna maji taka yanavyo safishwa chini kwa chini hatimae yanakubalika kutumika bila kuyawekea kimiminika.
 
Hilo shimo lina upana wa mts/fts/cmts/inchrs za kipenyo (diameters) ngapi..??
Na kina (kwenda chini) imeenda kwa umbali gani..??
Ainaipi ya udongo ambapo panafaa kuchimba shimo hilo..??
 
Hilo shimo lina upana wa mts/fts/cmts/inchrs za kipenyo (diameters) ngapi..??
Na kina (kwenda chini) imeenda kwa umbali gani..??
Ainaipi ya udongo ambapo panafaa kuchimba shimo hilo..??
Lina upana fut 8½ uref kushuka chini fut 15 limejengelewa likapakia kwa upana fut 7 urefu wa kwenda chini haukupungua ulibaki vilevile.

Ardhi inayotakiwa ni Ardhi yeyote ambayo hai bend endapo ikitokea mtetemo mfano wa tetemeko ikacheza
 
Back
Top Bottom