Recent content by Elushi

  1. E

    Israel kumsaidia Trump dhidi ya Kim

    Umeambiwa nchi teule hujaambiwa hakuna mashoga, hata mbinguni aliwahi kuishi shetani
  2. E

    Israel kumsaidia Trump dhidi ya Kim

    Mtanga tulikuwa wote mission fulani hivi za kijeshi. Mambo vipi?
  3. E

    Mwakyembe: Mavazi ya watu wetu siku hizi katika makanisa ni changamoto, ni afadhali misikitini wanavaa kistaarabu

    Misikitini tunavaa Uniform bana. Nyie was makanisani mnapigilia mitindo
  4. E

    Kushamiri kwa birthday parties, ni ujinga na kuiga iga tu!

    Birthday ni kwa wanaume wa Dar es salaam tu, kwetu kanda ya Ziwa ni ungese huu
  5. E

    Suzuki Escudo ( 3 doors) Fuel Consumption

    Mimi napenda Escudo pia ikikushinda nitakupokea, ila check pickups zake. Mafundi wa umeme wanaelewa zilipo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. E

    Hatimaye JWTZ yaingia Kibiti, Ikwiriri na Mkuranga kudhibiti na kutafuta wauaji wa Polisi na RAIA

    Jwtz tangu lini wakafanya vita na wachawi??? Njia hiyo haitaondoa tatizo kamwe. Mimi ningeshauri kuunda kikundi kama cha hao wauaji wa kibiti. Ningeua kimyakimya yeyote anayeonekana kushangilia mauaji ya kibiti na ningeacha vikaratasi vyenye jumbe kama zilezile za wauaji washenzi. Lengo ni ku...
  7. E

    Pwani: Kiongozi mwingine wa CCM auawa kinyama Ikwiriri

    Ukihisiwa na polisi au wakikuhisi hao jamaa unauawa vyovyote vile huko si salama
  8. E

    Nimepata mchumba Mrina bar, ni kweli mwanamke anaejiuza anaweza kubadilika tabia na kuwa mke mwema?

    Ndio huwa wanakuwa wazuri sana, ila mhame eneo la awali kuepuka midomo ya watu, halafu wanaujuzi uliobobea wa mapenzi. Utasema mbona ulichelewa
  9. E

    Picha: Wenye Magari DSM hali ni mbaya, wezi wa vipuri wamechachamaa

    Naonaga raha sana wakichomwa moto na taili, sitaki ujinga
  10. E

    Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

    Daima maamuzi ya JPM Nayakubali
Back
Top Bottom