Israel kumsaidia Trump dhidi ya Kim

Israel kumsaidia Trump dhidi ya Kim

jamii [race]kiyahudi ndio jamii yenye uwezo mkubwa kiakili.IQ yao ipo juu kuliko jamii zote,hili linathibitishwa na uwezo wao katika nyanja mbalimbali za kisayansi.mfano wao ndio wanaoongoza kwa kuchukua tuzo za nobel katika tasnia ya sayansi zaid ya 26% ya washindi ni wenye asili ya kiyahudi,wao ni 0.2% ya wakazi wote duniani.wakuwa wagunduzi wa vitu vingi vya kiteknolojia.kiukweli wapo vizuri. Tatizo hapa sio uwezo wao kiakili bali kuchukiwa na jamii nyingi,sababu za chuki kwa hii jamii ni wivu,sababu za kidini,za kisiasa. Ndugu zangu ili niweke sawa jambo hili sina budi kugusa kidogo historia angalau kwa mbali ili tu tufike.Tukianza na wivu,hawa jamaa walitawnyika sehemu mbalimbali dunian toka kwenye yao asili kwa vipind vitatu vikubwa,wakati utawala wa NEBKADNEZER,TITUS jemedari wa kirumi alipouhusuru JERUSALEM na wakafagiwa kabisa wakati wa utawala wa kharifa UMAR,huko walikoenda kila pahala walifanikiwa katika nyaja zote,kibiashara,wakaw wasomi ,wataalam,matajiri pia washauri wa viongozi tangu babel mpaka nyakati zetu.wao ni kundi dogo kwenye jamii lakin ndio wanao shikilia kila nyanja ya maisha,kumbuka chanzo cha chuki za Hitler ,kule Urusi ,kule uajemi wakati wa Naaman n.k twende kwa mifano,wakati Nebukadneza na Belshaza tunawona akina Daniel na wenzake,wakati wa Dario mkuu tunawapata akina Ester,Nehemia n.k wakati wa Alexernder The Great tunampata josephus mwanahistoria mahiri na wengineo.wakati wetu wao ndio wanamiliki kribu 2/3 ya utajiri duniani,unalamika kuhusu barick hao ni wayahudi ndio pia humiliki karibu makumpuni mengi makubwa ya kuchimba na kuuza Almasi duniani mwadui ni wao,ndio wanaomiliki hisa nyingi katika ile inayoitwa bank ya dunia.wana hisa karibu bank kuu zote dunian isipokuwa nchi zisizofika 15.wataalam ,wanasayansi,wanasheria wazuri dunian,waandishi,wavumbuzi wengi wao ni wenye asiri ya kiyahudi.sasa hapo wenye akili fupi za wivu lazima wakasilike!! sababu za kidini,hapa tuweke pembeni imani zetu tujadili ukweli uliopo,dunian kuna dini kubwa au zenye waumin wengi zaidi ya saba,amabazo ni ukristo,ubudha,uislam,uhindu,tao,din ya kiyahudi(judaism)dini za kichina,sikhi/shinto n.k dini hizi pia zimegawanyika katika makundi tena ya madhehebu,mfano ukristo una makundi makuu matatu ambayo ni wakatoliki,orthodox na wanamatengenezo(protestant).uislam nao kuna suni,shi'ite na hamadia,budha kuna theravad,mahayana na vairayana n.k sasa hizi dini zimewagawa watu kifikra na kiitikadi kutegemea n msimamo wa dini yake katika jambo flani,mtizamo wa kidini umeathiri mtazamo wa watu wengi katika nyaja mbalimbali pengine kupelekea kutokuwa na maamuzi na mtazamo sahihi katika jambo flani.dini hizi kulingana na asili zake zimewagawa waumini wake wafuasi dini flani kuwapenda wayahud na nchi yao ya Israel na wengine kuwachukia wayahud pamoja na nchi yao,waoipenda Israel dini yao inafungamana na dini na utamaduni wa kiyahudi,msingi wa dini yao umejengwa juu ya manabii na mitume wa Israel ya kale (juu ya waebrania-lugha yao wayahudi).mfano zipo dini ambazo vitabu vyao vitakatifu/vitukufu viwafundisha wafuasi wao kuwachukia wasifuata dini yao na miungu yao,inawataja wahudi kuwa maadui wao na wa dini yao.hivyo kujenga chuki juu ya wayahudi,wala maandiko hayo hayatoi sababu au hoja za msingi kwa nini hao wawe maadui wao.hapo ndipo penye kundi kubwa la wanaoichukia Israel na uyahudi.jiulize wewe kwa nini unawapenda au kuipenda Israel au kwa nini unawachukia wayahudi na Israel?jibu unalo sababu za kisiasa,hapa ni kundi linahusika,ila linaonekana kubwa kwa sababu yameingizwa maslahi ya dini hapa ndio maana mzozo wa mashariki ya kati ni mgumu kutatuliwa,wayahudi walisambalatishwa pale wakaikimbia nchi yao kukwepa mateso ya watesi wao,walipoamua kuridi baada ya miaka elf wengine mamia ya miaka,walikuta tayari nchi yao imemezwa na wageni,zikatumika hira na hujuma kuwaondoa wakazi halali wa pale kwa mujibu wa sheria za kimataifa.hapo ndipo unawakuta watu kama nyerere na wengineo wakitoa hoja za msingi kuwatetea wapalestina kwa kujali utu,wengi wakipendekeza pawepo na mataifa mawili palestina na Israel.je wewe kwa nini unawachukia hawa au kwa nini unawapenda? hitimisho,Irani ni mojawpo ya nchi zenye historia ndefu na dhidi ya wayahud,wayahudi wamekuwa sehemu ya jamii ya kiajemi,waishi vipindi vigumu wakat mwingine vizuri tegea mtawala kwa zaidi ya miaka 2500 ivi,haiwachukii wayahudi la hasha inalichukia taifa la kiyahudi sababu kubwa ni kuanzishwa upya kwa taifa hilo ndani ya ardhi ya mababu zao lakini wakati huo huo ni ndani ya mipaka pia ya taifa la wapalestina,kubwa hapo suala la dini kwani maeneo mengi matakatifu kwa wayahudi na wakristo pia miaka ya hivi karibuni yamekuwa matakatifu kwa waislam. SWALI;KAMA WAASIA NDIO WENYE IQ KUBWA KUZIDI WAYAHUDI KWA NINI WAYAHUDI AMBAO NI WACHACHE NDIO WAWE WAGUNDUZI WA VITU VINGI KULIKO HAO WAASIA ? mfano wa wachache wao ni Abert Eistain ,Leon Szilard J.Opponheimes waitwao mababa wa nyukria,USA.Edward TELLER baba wa thermonuclear na Hydrogen bomb,USA.Yakov borisovich NUCLEAR RUSSIA.Michael Dell muasisi wa Dell,Stive ballmer ceo microsoft,Jacob ziv -computer,Raymond Kurzwel -alama kwa ajili ya vipofu(maandishi ya vipofu)Arthur Adler- remote control,Charles Ginsberg -video tape,Emile -graphone,kama ni mpiga picha ziwe video au mnato jamaa ndio waliogundua hasa ili ziwe za rangi,typing machine,fax ,printer ni hao jamaa,chanjo mbalimbali kama poli ni hao jamaa,ndi watengenezaji wa nguo aina ya jinsi kwa mara kwanza,mgunduzi akiwa myahud Lev Strauss,pia kevin klain.kama ni mtumiaji wa simu za mkononi basi hao jamaa wanahusika,memory desc wao wamegundua.stanley cohen mambo ya genetic engineering,kwenye tiba usisema wana mchango mkubwa.kwa uchache hao ni mifano. kama ni member wa face,whatsapp ma founder wake ni wayahudi,ukiwachukia chukia na na vitu vya uishi kama zama za ujima
Ugunduzi na technology ni shared values, wengi wamechangia sana tu sio wayahudi. Unasemaje kuhusu walatini na wagiriki kwenye upande wa medicine, maana kuna terminologies nyingi za kilatini na kigiriki kuonesha fingerprint yao, lkn si za kiyahudi.
Kumbuka pia hao wayahudi wanabebwa sana na wazungu ndio maana wapo hapo kuanzia teknolojia mpaka kipesa, unadhani wangepigwa pini kama North Korea wangelikuwa hapo walipo leo..!??
Tafiti zinazokubalika bado zinasema watu wenye IQ ya juu ni waasia na sio wayahudi kama unavyosema.
Kuhusu kuchukiwa nakubaliana nawe ,kwa sababu ya vitendo vyao viovu.
Zingatia tena, siku wazungu wakitoa mkono wao na hao wayahudi watasahaulika.
 
UMENENA WATU WENYE AKILI HATA VYUO VIKUBWA KAMA HAVARD HUWA NI WA ASIA HUSUSANI WAKOREA
 
Based on researc h , these countries have the highest average IQ levels in the world.
  • Singapore- 108. Source: mrwallpaper.
  • South Korea- 106. Source: suitqaisdiaries.com.
  • Japan- 105. Source: shonari.net.
  • Italy- 102. Source: blamethemonkey.
  • Iceland- 101. Source: www.icelandtour.us.
  • Mongolia- 101. ...
  • Switzerland- 101. ...
  • Austria- 100.
source: Here Are 25 Countries With The Highest Average IQs
 
Tukisema vita zipiganwe kwa Ufair bila nchi nyengine kusaidia, Iran anaouwezo wa kuisambaratisha Israel ndani ya wiki tu, Marekani akaisambaritisha north Korea kwa wiki pia (Hapa mmarekani anaogopa Nuclear tu ndo maana hataki kuzipiga).
 
Habari wakuu...

Ni muda muafaka sasa Trump aombe msaada kwa Israel, taifa teule, wasambaratishe mazalia ya ballistic missiles na nuclear reactors za Kim Jong-Un. Kazi hii IDF ikipewa yawezakamilisha ndani ya masaa 12 ya usiku mmoja.

Au kama vipi Trump awaombe Waisrael, watu waliopewa akili zaidi Ulimwenguni, wadukue mfumo wa kurusha makombora ya balistic ya North Korea ili Kim asiweze kurusha hata toy la mbayuwayu. Na uhakika jambo hili litaepusha kuita vikao vya kila siku vya UN kuijadili N/Korea. Litamfanya Kim achutame kwa fedheha na kuomba mazungumzo...Karibuni Timu Kiduku na Timu Trump.
Uliyetoa hiii maada Uwe unaangalia kwa mapana na maslai ya Taifa lako. Mtu makini wa hapa nchin huwe ukashauri ujinga kama huu hata siku moja!! Hichi ni kipimo cha akili tulizonazo ambazo kwa wewe mtu mjinga mmoja utafanya tuonekane kama wote hatuna akili... Ushauri wangu kwako Acha kuingilia DIPLOMASIA za nchi za watu ishauri vizur familia yako na wewe mwenyewe ili kujikomboa kiakili uwe kama hao waislael
 
jamii [race]kiyahudi ndio jamii yenye uwezo mkubwa kiakili.IQ yao ipo juu kuliko jamii zote,hili linathibitishwa na uwezo wao katika nyanja mbalimbali za kisayansi.mfano wao ndio wanaoongoza kwa kuchukua tuzo za nobel katika tasnia ya sayansi zaid ya 26% ya washindi ni wenye asili ya kiyahudi,wao ni 0.2% ya wakazi wote duniani.wakuwa wagunduzi wa vitu vingi vya kiteknolojia.kiukweli wapo vizuri. Tatizo hapa sio uwezo wao kiakili bali kuchukiwa na jamii nyingi,sababu za chuki kwa hii jamii ni wivu,sababu za kidini,za kisiasa. Ndugu zangu ili niweke sawa jambo hili sina budi kugusa kidogo historia angalau kwa mbali ili tu tufike.Tukianza na wivu,hawa jamaa walitawnyika sehemu mbalimbali dunian toka kwenye yao asili kwa vipind vitatu vikubwa,wakati utawala wa NEBKADNEZER,TITUS jemedari wa kirumi alipouhusuru JERUSALEM na wakafagiwa kabisa wakati wa utawala wa kharifa UMAR,huko walikoenda kila pahala walifanikiwa katika nyaja zote,kibiashara,wakaw wasomi ,wataalam,matajiri pia washauri wa viongozi tangu babel mpaka nyakati zetu.wao ni kundi dogo kwenye jamii lakin ndio wanao shikilia kila nyanja ya maisha,kumbuka chanzo cha chuki za Hitler ,kule Urusi ,kule uajemi wakati wa Naaman n.k twende kwa mifano,wakati Nebukadneza na Belshaza tunawona akina Daniel na wenzake,wakati wa Dario mkuu tunawapata akina Ester,Nehemia n.k wakati wa Alexernder The Great tunampata josephus mwanahistoria mahiri na wengineo.wakati wetu wao ndio wanamiliki kribu 2/3 ya utajiri duniani,unalamika kuhusu barick hao ni wayahudi ndio pia humiliki karibu makumpuni mengi makubwa ya kuchimba na kuuza Almasi duniani mwadui ni wao,ndio wanaomiliki hisa nyingi katika ile inayoitwa bank ya dunia.wana hisa karibu bank kuu zote dunian isipokuwa nchi zisizofika 15.wataalam ,wanasayansi,wanasheria wazuri dunian,waandishi,wavumbuzi wengi wao ni wenye asiri ya kiyahudi.sasa hapo wenye akili fupi za wivu lazima wakasilike!! sababu za kidini,hapa tuweke pembeni imani zetu tujadili ukweli uliopo,dunian kuna dini kubwa au zenye waumin wengi zaidi ya saba,amabazo ni ukristo,ubudha,uislam,uhindu,tao,din ya kiyahudi(judaism)dini za kichina,sikhi/shinto n.k dini hizi pia zimegawanyika katika makundi tena ya madhehebu,mfano ukristo una makundi makuu matatu ambayo ni wakatoliki,orthodox na wanamatengenezo(protestant).uislam nao kuna suni,shi'ite na hamadia,budha kuna theravad,mahayana na vairayana n.k sasa hizi dini zimewagawa watu kifikra na kiitikadi kutegemea n msimamo wa dini yake katika jambo flani,mtizamo wa kidini umeathiri mtazamo wa watu wengi katika nyaja mbalimbali pengine kupelekea kutokuwa na maamuzi na mtazamo sahihi katika jambo flani.dini hizi kulingana na asili zake zimewagawa waumini wake wafuasi dini flani kuwapenda wayahud na nchi yao ya Israel na wengine kuwachukia wayahud pamoja na nchi yao,waoipenda Israel dini yao inafungamana na dini na utamaduni wa kiyahudi,msingi wa dini yao umejengwa juu ya manabii na mitume wa Israel ya kale (juu ya waebrania-lugha yao wayahudi).mfano zipo dini ambazo vitabu vyao vitakatifu/vitukufu viwafundisha wafuasi wao kuwachukia wasifuata dini yao na miungu yao,inawataja wahudi kuwa maadui wao na wa dini yao.hivyo kujenga chuki juu ya wayahudi,wala maandiko hayo hayatoi sababu au hoja za msingi kwa nini hao wawe maadui wao.hapo ndipo penye kundi kubwa la wanaoichukia Israel na uyahudi.jiulize wewe kwa nini unawapenda au kuipenda Israel au kwa nini unawachukia wayahudi na Israel?jibu unalo sababu za kisiasa,hapa ni kundi linahusika,ila linaonekana kubwa kwa sababu yameingizwa maslahi ya dini hapa ndio maana mzozo wa mashariki ya kati ni mgumu kutatuliwa,wayahudi walisambalatishwa pale wakaikimbia nchi yao kukwepa mateso ya watesi wao,walipoamua kuridi baada ya miaka elf wengine mamia ya miaka,walikuta tayari nchi yao imemezwa na wageni,zikatumika hira na hujuma kuwaondoa wakazi halali wa pale kwa mujibu wa sheria za kimataifa.hapo ndipo unawakuta watu kama nyerere na wengineo wakitoa hoja za msingi kuwatetea wapalestina kwa kujali utu,wengi wakipendekeza pawepo na mataifa mawili palestina na Israel.je wewe kwa nini unawachukia hawa au kwa nini unawapenda? hitimisho,Irani ni mojawpo ya nchi zenye historia ndefu na dhidi ya wayahud,wayahudi wamekuwa sehemu ya jamii ya kiajemi,waishi vipindi vigumu wakat mwingine vizuri tegea mtawala kwa zaidi ya miaka 2500 ivi,haiwachukii wayahudi la hasha inalichukia taifa la kiyahudi sababu kubwa ni kuanzishwa upya kwa taifa hilo ndani ya ardhi ya mababu zao lakini wakati huo huo ni ndani ya mipaka pia ya taifa la wapalestina,kubwa hapo suala la dini kwani maeneo mengi matakatifu kwa wayahudi na wakristo pia miaka ya hivi karibuni yamekuwa matakatifu kwa waislam. SWALI;KAMA WAASIA NDIO WENYE IQ KUBWA KUZIDI WAYAHUDI KWA NINI WAYAHUDI AMBAO NI WACHACHE NDIO WAWE WAGUNDUZI WA VITU VINGI KULIKO HAO WAASIA ? mfano wa wachache wao ni Abert Eistain ,Leon Szilard J.Opponheimes waitwao mababa wa nyukria,USA.Edward TELLER baba wa thermonuclear na Hydrogen bomb,USA.Yakov borisovich NUCLEAR RUSSIA.Michael Dell muasisi wa Dell,Stive ballmer ceo microsoft,Jacob ziv -computer,Raymond Kurzwel -alama kwa ajili ya vipofu(maandishi ya vipofu)Arthur Adler- remote control,Charles Ginsberg -video tape,Emile -graphone,kama ni mpiga picha ziwe video au mnato jamaa ndio waliogundua hasa ili ziwe za rangi,typing machine,fax ,printer ni hao jamaa,chanjo mbalimbali kama poli ni hao jamaa,ndi watengenezaji wa nguo aina ya jinsi kwa mara kwanza,mgunduzi akiwa myahud Lev Strauss,pia kevin klain.kama ni mtumiaji wa simu za mkononi basi hao jamaa wanahusika,memory desc wao wamegundua.stanley cohen mambo ya genetic engineering,kwenye tiba usisema wana mchango mkubwa.kwa uchache hao ni mifano. kama ni member wa face,whatsapp ma founder wake ni wayahudi,ukiwachukia chukia na na vitu vya uishi kama zama za ujima
Umemjibu vema sana mkuu.
 
Tukisema vita zipiganwe kwa Ufair bila nchi nyengine kusaidia, Iran anaouwezo wa kuisambaratisha Israel ndani ya wiki tu, Marekani akaisambaritisha north Korea kwa wiki pia (Hapa mmarekani anaogopa Nuclear tu ndo maana hataki kuzipiga).
kwa vigezo vipi???? au umekurupushwa na mahaba?weka fact
 
Mnahofia effect ya uchumi kushuka na sio mamilioni ya binaadam watakaopoteza maisha yao[emoji36] [emoji36]
Kwani wakati wa ukombozi wa africa watu kama Mobutu na Savimbi walikuwa wanatawala kwa niaba ya nani kama siyo multinationals? Jee wakati huo hao wastaarabu wa dunia hawakufahamu kuwa binaadam walikuwa wanauawa kwa sababu ilikuwa inaingiliana na interest zao za natural resources?
HIYO NDIYO GEOPOLITICS
 
Malnourished Babies in Israel
The Facts:
*.
1/3 of Israel children live below the poverty line
*.
Thousands of infants are improperly fed or malnourished
*.
Devastating development issues
*.
Long term negative effects for the child, the family and for Israel
Recent reports show that close to one third of Israeli families live below the poverty line. This includes thousands of babies who either frequently miss meals or have their portions diluted during feeding. These babies have an increased likelihood of experiencing significant problems in their physical and mental development over the course of their lives. The short and long term effects of malnutrition in babies include behavioural issues, impaired growth and development and increased susceptibility to lingering diseases. These are just a handful of potential issues that a malnourished baby is likely to deal with as he/she grows older. Not only can this have severe consequences on the child but on the country in general, as one third of the Israeli population will enter adulthood under these circumstances.
You have the power to completely reverse this trend. Through your generous contributions, Yad Ezra V’Shulamit’s Baby Center is able to deliver baby formula, baby food, diapers, wipes and other infant products to hundreds of new mothers in desperate need of help. Let’s give a baby in Israel a future they deserve and help sustain healthy growth for the country.
For only $2 a day, you can both feed and diaper a baby.
CLICK HERE TO DONATE NOW!
 
Mambo ya wateule halisi

Saudis to build new Red Sea mega-city costing $500bn investment
Oct 24, 2017 @ 18:13
Saudi Crown Prince Mohammed bin Salman announced plans Tuesday to build a new mega city covering 25,000 sq.km on the Red Sea coast, to be linked to Jordan and opposite Egypt. He promised it would offer a lifestyle not available in today’s Saudi Arabia. The new town called Neom will be autonomous and operate outside Saudi Arabia’s government and constitutional limits. Economic experts say that Riyadh is in effect establishing a free trade zone.
 
jamii [race]kiyahudi ndio jamii yenye uwezo mkubwa kiakili.IQ yao ipo juu kuliko jamii zote,hili linathibitishwa na uwezo wao katika nyanja mbalimbali za kisayansi.mfano wao ndio wanaoongoza kwa kuchukua tuzo za nobel katika tasnia ya sayansi zaid ya 26% ya washindi ni wenye asili ya kiyahudi,wao ni 0.2% ya wakazi wote duniani.wakuwa wagunduzi wa vitu vingi vya kiteknolojia.kiukweli wapo vizuri. Tatizo hapa sio uwezo wao kiakili bali kuchukiwa na jamii nyingi,sababu za chuki kwa hii jamii ni wivu,sababu za kidini,za kisiasa. Ndugu zangu ili niweke sawa jambo hili sina budi kugusa kidogo historia angalau kwa mbali ili tu tufike.Tukianza na wivu,hawa jamaa walitawnyika sehemu mbalimbali dunian toka kwenye yao asili kwa vipind vitatu vikubwa,wakati utawala wa NEBKADNEZER,TITUS jemedari wa kirumi alipouhusuru JERUSALEM na wakafagiwa kabisa wakati wa utawala wa kharifa UMAR,huko walikoenda kila pahala walifanikiwa katika nyaja zote,kibiashara,wakaw wasomi ,wataalam,matajiri pia washauri wa viongozi tangu babel mpaka nyakati zetu.wao ni kundi dogo kwenye jamii lakin ndio wanao shikilia kila nyanja ya maisha,kumbuka chanzo cha chuki za Hitler ,kule Urusi ,kule uajemi wakati wa Naaman n.k twende kwa mifano,wakati Nebukadneza na Belshaza tunawona akina Daniel na wenzake,wakati wa Dario mkuu tunawapata akina Ester,Nehemia n.k wakati wa Alexernder The Great tunampata josephus mwanahistoria mahiri na wengineo.wakati wetu wao ndio wanamiliki kribu 2/3 ya utajiri duniani,unalamika kuhusu barick hao ni wayahudi ndio pia humiliki karibu makumpuni mengi makubwa ya kuchimba na kuuza Almasi duniani mwadui ni wao,ndio wanaomiliki hisa nyingi katika ile inayoitwa bank ya dunia.wana hisa karibu bank kuu zote dunian isipokuwa nchi zisizofika 15.wataalam ,wanasayansi,wanasheria wazuri dunian,waandishi,wavumbuzi wengi wao ni wenye asiri ya kiyahudi.sasa hapo wenye akili fupi za wivu lazima wakasilike!! sababu za kidini,hapa tuweke pembeni imani zetu tujadili ukweli uliopo,dunian kuna dini kubwa au zenye waumin wengi zaidi ya saba,amabazo ni ukristo,ubudha,uislam,uhindu,tao,din ya kiyahudi(judaism)dini za kichina,sikhi/shinto n.k dini hizi pia zimegawanyika katika makundi tena ya madhehebu,mfano ukristo una makundi makuu matatu ambayo ni wakatoliki,orthodox na wanamatengenezo(protestant).uislam nao kuna suni,shi'ite na hamadia,budha kuna theravad,mahayana na vairayana n.k sasa hizi dini zimewagawa watu kifikra na kiitikadi kutegemea n msimamo wa dini yake katika jambo flani,mtizamo wa kidini umeathiri mtazamo wa watu wengi katika nyaja mbalimbali pengine kupelekea kutokuwa na maamuzi na mtazamo sahihi katika jambo flani.dini hizi kulingana na asili zake zimewagawa waumini wake wafuasi dini flani kuwapenda wayahud na nchi yao ya Israel na wengine kuwachukia wayahud pamoja na nchi yao,waoipenda Israel dini yao inafungamana na dini na utamaduni wa kiyahudi,msingi wa dini yao umejengwa juu ya manabii na mitume wa Israel ya kale (juu ya waebrania-lugha yao wayahudi).mfano zipo dini ambazo vitabu vyao vitakatifu/vitukufu viwafundisha wafuasi wao kuwachukia wasifuata dini yao na miungu yao,inawataja wahudi kuwa maadui wao na wa dini yao.hivyo kujenga chuki juu ya wayahudi,wala maandiko hayo hayatoi sababu au hoja za msingi kwa nini hao wawe maadui wao.hapo ndipo penye kundi kubwa la wanaoichukia Israel na uyahudi.jiulize wewe kwa nini unawapenda au kuipenda Israel au kwa nini unawachukia wayahudi na Israel?jibu unalo sababu za kisiasa,hapa ni kundi linahusika,ila linaonekana kubwa kwa sababu yameingizwa maslahi ya dini hapa ndio maana mzozo wa mashariki ya kati ni mgumu kutatuliwa,wayahudi walisambalatishwa pale wakaikimbia nchi yao kukwepa mateso ya watesi wao,walipoamua kuridi baada ya miaka elf wengine mamia ya miaka,walikuta tayari nchi yao imemezwa na wageni,zikatumika hira na hujuma kuwaondoa wakazi halali wa pale kwa mujibu wa sheria za kimataifa.hapo ndipo unawakuta watu kama nyerere na wengineo wakitoa hoja za msingi kuwatetea wapalestina kwa kujali utu,wengi wakipendekeza pawepo na mataifa mawili palestina na Israel.je wewe kwa nini unawachukia hawa au kwa nini unawapenda? hitimisho,Irani ni mojawpo ya nchi zenye historia ndefu na dhidi ya wayahud,wayahudi wamekuwa sehemu ya jamii ya kiajemi,waishi vipindi vigumu wakat mwingine vizuri tegea mtawala kwa zaidi ya miaka 2500 ivi,haiwachukii wayahudi la hasha inalichukia taifa la kiyahudi sababu kubwa ni kuanzishwa upya kwa taifa hilo ndani ya ardhi ya mababu zao lakini wakati huo huo ni ndani ya mipaka pia ya taifa la wapalestina,kubwa hapo suala la dini kwani maeneo mengi matakatifu kwa wayahudi na wakristo pia miaka ya hivi karibuni yamekuwa matakatifu kwa waislam. SWALI;KAMA WAASIA NDIO WENYE IQ KUBWA KUZIDI WAYAHUDI KWA NINI WAYAHUDI AMBAO NI WACHACHE NDIO WAWE WAGUNDUZI WA VITU VINGI KULIKO HAO WAASIA ? mfano wa wachache wao ni Abert Eistain ,Leon Szilard J.Opponheimes waitwao mababa wa nyukria,USA.Edward TELLER baba wa thermonuclear na Hydrogen bomb,USA.Yakov borisovich NUCLEAR RUSSIA.Michael Dell muasisi wa Dell,Stive ballmer ceo microsoft,Jacob ziv -computer,Raymond Kurzwel -alama kwa ajili ya vipofu(maandishi ya vipofu)Arthur Adler- remote control,Charles Ginsberg -video tape,Emile -graphone,kama ni mpiga picha ziwe video au mnato jamaa ndio waliogundua hasa ili ziwe za rangi,typing machine,fax ,printer ni hao jamaa,chanjo mbalimbali kama poli ni hao jamaa,ndi watengenezaji wa nguo aina ya jinsi kwa mara kwanza,mgunduzi akiwa myahud Lev Strauss,pia kevin klain.kama ni mtumiaji wa simu za mkononi basi hao jamaa wanahusika,memory desc wao wamegundua.stanley cohen mambo ya genetic engineering,kwenye tiba usisema wana mchango mkubwa.kwa uchache hao ni mifano. kama ni member wa face,whatsapp ma founder wake ni wayahudi,ukiwachukia chukia na na vitu vya uishi kama zama za ujima
HAKUNA KITU KIBAYA KAMA 'INFERIORITY COMPLEX' kwa karne hii atokee mtu kusema usemavyo ni dhahir kuwa huo ni ulemavu wa akili
 
kwa vigezo vipi???? au umekurupushwa na mahaba?weka fact
Tatizo lenu kila kinachotangazwa na akina cnn na bbc ndo mnaamini hicho hicho, mfano drone ya wamarekani wairan waliishusha bila hata ya kuitungua wamarekani walijua lisingewezekana mpaka leo hawajui waliishushaje ile drone. Iran anazo capabilities zengine ambazo kwenye mitandao ya west huezi kuzikuta ila Israel anaujua moto wake, ndo maana anamtegemea sana Mmarekani

Iran shows off captured US drone
 
nahisi wewe ni sehemu ya watu wengi wanaosumbuliwa na mahaba.hiyo link uliyoiweka vp ni wapi?upande mmoja huwaamini watu wa magharib upande mwingine unawatumia kama source pale wanapoandike kile unachokipenda
 
Israel wenyewe wanamgwaya Kim.
kivip mbona hawajawai kuingia kwenye mgogoro??sasa anamgwaya kivpi?watz kwahadithi na maoni ya ki abunwasi,huna ushahid huna vithibitisho unakurupuka
 
Back
Top Bottom