masalu isidori
Member
- Jul 12, 2017
- 27
- 31
- Thread starter
- #21
Super grow ina ingredient gani
Tumia super grow
Tumia super grow
je Di grow nayo inafaaThanks
Nutrients zipo tu ili mradi ujue ni kipi kinatakiwa. Mi natumia EMO na mambo yanakwenda kama kawaida. Tukutane Pm nikupe contact zangu au tembelea website ya mwasenda utapata maelekezo yote.Sasa nutrients zinapatianaje?
Inafaa sana ila be yake iko juu; mi natumia EMO bei yake ni nafuu sana.je Di grow nayo inafaa