Recent content by Elly255

  1. Elly255

    Mbinu zitumikazo kuiba hela benki

    Uzi huu ni wa Sirjeff au ONTARIO na upo hapa hapa Jf niaje unacopy ??
  2. Elly255

    Naomba kujuzwa bei za mabati ya Alaf Versatile gauge 30

    siyo kweli, ukiingia kwenye website yao kuna detail zote. tena unaweza kuoder kabisa mzigo online
  3. Elly255

    Ushauri: Msaada kuhusu tabia ya wizi iliyokubuhu kwa kijana wangu

    Boss imagine akiiba mahali kisha wananchi wenye hasira kali wampige mpaka afe. Imagine hizo lawama utakazopata. Tafakari haya maneno yangu kisha mrudishe huyo mtoto ulipomtoa . Narudia tena mrudishe mapema ikiwezekana leo. Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
  4. Elly255

    Kodi ya ongezeko la thamani kwenye mikopo na miamala ya benki

    Nunua Stable coin zako kama USDT na TERA UST kisha zitunze kwenye wallet yako yoyote Hot ama Cold . Kisha baki na Recovery phrase zako. Ukirudi hata miaka mi5 unakuta haijapungua hata mia. Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
  5. Elly255

    Swali: Je, Mwanamke wa Kizungu huwa anakula Udongo pindi anapopata Ujauzito?

    Siyo suala la uafrica ama uzungu ni deficiency ya madini chuma. So jaribu kusupliment uone kama mkeo atakula tena udongo. Nenda hospitali, apime kiwango cha madini chuma kisha apatiwe suppliments. Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
  6. Elly255

    Kutegemea mbolea kwa kilimo inaleta utasa kwenye ardhi baadaye tutakuja kulia

    Umeandika jambo kubwa na zito, nasikitika kwamba ni wachache mno watakuelewa.
  7. Elly255

    Serikali inaendelea kufanya ubaguzi kwenye ajira. Kama una div 1&2 au bachelor degree jua upo kwenye risk ya kutoajiriwa

    Siku utapojua kwanini ulizaliwa ndipo utaacha kulalamika na kufanya mambo ya msingi. Dunia haina huruma mdogo wangu usisubiri serikali utazeeka bado unatafuta ajira. Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
  8. Elly255

    Mteja azimia NMB Buzuruga, ni baada ya kukaa kwenye foleni masaa manne

    Kwanini uhangaike hivo mzee,wakati kuna ABSA, FNB, banc Abc, Equity nk. Unafungua acc , unapata kadi muda huo na siku hiyo hiyo unaanza kufanya online transaction. Achana na hizi benki za mkulima zinqchosha kinoma. Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
  9. Elly255

    Nifanyeje nizoeane na majirani?

    Hongera san kwa kumiliki gari brow. Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
  10. Elly255

    USHAURI: Niende kwenye ajira Serikalini au nisimimamie biashara za nyumbani?

    Jitafute kwanza brow, ukishajipata wewe nani then utaacha kuchezewa kama mpira. Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
  11. Elly255

    Hivi zile ajira wizara ya afya na tamisemi zimeishia wapi?

    Tafuta kazi ingine mzee, acha kushinda Tamisemi kila mda, utakuwa disappointed vibaya mno jina lako lisipokwepo. Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
  12. Elly255

    Phone4Sale Samsung J7 PRO: 280k only

    J7 unauz 280k??? Simu ya 2015 are you serious? Ukitaka mteja uza chini ya 50k
  13. Elly255

    Msaada wa aina tano za shahada ambazo hata nikikosa serikalini naweza kujiendesha

    Achana na mashahada , nunua pc yako chagua aina moja ya ujuzi, jifungie kwa mwaka mmoja jinoe vizuri kupitia youtube. Ukitoka nje uza ujuzi wako tengeneza pesa. Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
  14. Elly255

    Nahitaji kubadilisha fani ya uwalimu

    Ualimu ni wito, hukujua hilo mapema?? Af niaje we mwalimu hujui hata kuandika?? Unawafundisha manini watoto wetu Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
  15. Elly255

    Ulishawahi kupitia changamoto kama hii?

    Wewe kajifunze kuandika vizuri kwanza, nadhani hii ni sababu ya kufeli unaandika ugoro mwingi, paedric ndo kitu gani?? Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom