Mteja azimia NMB Buzuruga, ni baada ya kukaa kwenye foleni masaa manne

Ww ni mshamba we ulitaka upewe card ikiwa tayar imeactivatiwa online banking mm nikipewq io kaz umaskin bye bye laxima uaccept na uactivate mwenyewe sema wabongo washamba
Hivi unaelewa mpaka mtu anaomba MasterCard anakuwa anataka ya nini?
MAELEZO WENGI WANAO OPT KUPATA VISA AU MASTERCARD SIYO WAUZA DAGAA KAMA WEWE HAPO MWANZA WAO WANATAKA HUDUMA HIZI
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
inaweza kukufanya u link na online payments /PayPal/purchases

unaweza lipa Kwa credit/ Debit card whatever Kwa Ku swipe card au Ku weka kwa point of sale machines (P.O.S)

inakuwezesha Ku access huduma za benk husika kwa ATM za benk nyinginezo zenye u shirika na MasterCard

hivo CRDB ukipewa Card hiyo unakuwa umejaza automatic form ya kujiunga na huduma hizo Lakin hawa NMB majanga wanakwambia kila kitu sawa Lakin ukitaka kuitumia inakwambia (Invalid selected services contact your issuing bank) Kwahiyo unaniita mshamba unaweza kuta we ndo mshamba hata nachoandika uelewi upo upo tu!!! Jaribu kwanza kuangalia una temper na nani!!!! Do not temper with barcodes eeee shwain

Am a professional banker pia nimekaa Operations kwa Miaka zaidi ya 8 kabla ya kadi za kileo hadi kadi za kileo hapo awali zikaanza kuingia !! Nimekaa kitengo cha Cards pia !!! Issuing cards !!! Activation and de activation !!! Amount limit setting withdrawal per day Kwa cards nimeziset sana na naweza hata Ku extend kiasi isiwe na limit kipindi hicho!!! Activation of online payment kwenye cards za wateja pia nimefanya najua!! Nimefanya pia Swift issues on money transfer na bank to bank settlement TANZANIA INTERBANK SETTLEMENT SYSTEM (TISS) so unaniitaje mshamba

Britanicca
 
Katika hali isiyo ya kawaida mgonjwa mmoja aliyekuwa akitaka kutoa hela kwa ajili ya matibabu alijikuta akizimia baada ya kukaa foleni kwa muda mrefu.

Katika benki ya NMB iliyopo Buzuruga plaza, yenye madirisha matano ya tellers, ni madirisha mawili tu yalikuwa yakifanya kazi, na katika madirisha hayo mawili dirisha moja lilimuhudumia mteja mmoja kwa zaidi ya masaa mawili huku dirisha moja lililobaki lilifungwa kuanzia majira ya saa 7 mpaka mishale ya kuelekea saa 9 na muhudumu huyo alisema ameenda kupata lunch nzito.

Kwa mbali niliwasikia mateller hao wakilalamika udogo wa mishahara ndio chanzo cha kufanya kazi kwa kusua sua.

Natoa ombi kwa mtu yoyote anayetaka kutumia NMB ajaribu matawi mengine, asije kusema hakuambiwa.

NMB Buzuruga ina watu wengi wa usafi na ulinzi kuliko wafanyakazi wa benki mpaka mmtu anijiuliza hivi hapa G4S au NMB?

Ili kupunguza matumizi inabidi NMB wapange jengo dogo kuendana na idadi ya mateller walionao, labda wafikirie kuchukua fremu hata Buzurga stendi- maana serikali nayo inasubiri gawio lake.
Mkuu asante kwa kukumbushia. Me niliwahi kuwaambia NMB kwenye thread yao. Branch ya buzuruga ni hovyo kabisa. Wahudumu wao hakuna wanachokijua. Me walitaka kuniweka eti nimsubiri meneja customer service, na wakati walijua hayupo na kuna wateja walikuwa wakimsubiri muda mrefu sana. Baada ya jushtukua nikasepa
 
Mkuu asante kwa kukumbushia. Me niliwahi kuwaambia NMB kwenye thread yao. Branch ya buzuruga ni hovyo kabisa. Wahudumu wao hakuna wanachokijua. Me walitaka kuniweka eti nimsubiri meneja customer service, na wakati walijua hayupo na kuna wateja walikuwa wakimsubiri muda mrefu sana. Baada ya jushtukua nikasepa
Buzuruga ni ovyo sana mkuu
 
kuna bank moja nilifunga account baada ya kukaa siku nzima bank nikisubiria kutoa hela yangu mwenyewe, siku iliyofuatia ilikuaa jmosi nilikwenda kufunga account na kutoa hela yangu yote...Manager akanitia kunihoji nikamjibu nimeamua tu kuchukua hela zangu na kwenda kuzitumia nitakavyo...

Baada ya hapo nikaamua sasa kuwa na account bank za mabeberu tu....Barklays aka Absa now, standard chatered, stanbic bank..
 
kuna bank moja nilifunga account baada ya kukaa siku nzima bank nikisubiria kutoa hela yangu mwenyewe, siku iliyofuatia ilikuaa jmosi nilikwenda kufunga account na kutoa hela yangu yote...Manager akanitia kunihoji nikamjibu nimeamua tu kuchukua hela zangu na kwenda kuzitumia nitakavyo...

Baada ya hapo nikaamua sasa kuwa na account bank za mabeberu tu....Barklays aka Absa now, standard chatered, stanbic bank..
Hata mabeberu weusi Equity wazuri sana
 
Maajabu ,nimefanya application ya kufanya manunuzi online hadi leo (wiki ya pili)mastercard haikubali online transaction.
Kwanini uhangaike hivo mzee,wakati kuna ABSA, FNB, banc Abc, Equity nk. Unafungua acc , unapata kadi muda huo na siku hiyo hiyo unaanza kufanya online transaction. Achana na hizi benki za mkulima zinqchosha kinoma.



Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wanafata AC bank
Ifike wakati hizi Bank zitoe Elimu kwa wananchi faida za kutumia wakala wa bank husika. Kama suala makato ni makubwa kwa mawakala bank zione namna ya kupunguza makato pia.
 
Nadhani taasisi nyingi zenye kuwa na vile vichumba vya huduma kwa wateja hata ukute vyumba 50 basi ni viwili au vitatu tu ndiyo vitakuwa vinawatoa huduma.
Bank,Posta(ems) nk.
 
Nafikiri Benki Kuu walitazame hili hususani hizi Benki kubwa yaani unakuta Benki Ina madirisha Saba ila teller wawili na foleni ni kubwa Huwa najiuliza hizi hela tunagaiwa au niza kwetu
 
Back
Top Bottom