Hivi zile ajira wizara ya afya na tamisemi zimeishia wapi?

Macbook pro

JF-Expert Member
Jul 15, 2020
665
902
Habari gani ndugu wanajamvi wezangu.

Ngoja niende kwenye hoja yangu moja kwa moja. Kuna ajira zilitangazwa na wizara na Afya, watu waliomba ikiwemo mimi mwenyewe. Yapata mwezi mmoja sasa tangu dirisha la kutuma maombi lifungwe, hakuna majina yoyote ya walio chaguliwa.

Anyway mimi niliomba kwenye Afya, sasa kila siku naangalia website za MOH na TAMISEMI sioni kitu au wenzangu nyinyi mmeshajikatia Tamaa au inakuwaje kuwaje aseee.! Daah
 
Muda wa majibu bado, nina imani bado wanaendelea na kuchagua na kuwapangia vituo. Wakikamilisha tutaona PDF.

Subiri ikifika July katikati ndio utaweza kuanza kufikiria hayo majibu
 
Ahaaaah..! Sawa ndugu
 
Hahahaha hii nchi mgumu

Wa maji nako tunasubiria huu ni mwez wa tatu kila siku tunaulizana km kuna jipya

Walimu ndo kbs na hv kule kuna competition bas nikiingaga kwenye magroup yao ya tetesi za ajira facebook naishia kucheka
 
Habari gani ndugu wanajamvi wezangu.

Ngoja niende kwenye hoja yangu moja kwa moja. Kuna ajira zilitangazwa na wizara na Afya, watu waliomba ikiwemo mimi mwenyewe. Yapata mwezi mmoja sasa tangu dirisha la kutuma maombi lifungwe, hakuna majina yoyote ya walio chaguliwa.
Anyway mimi niliomba kwenye Afya, sasa kila siku naangalia website za MOH na TAMISEMI sioni kitu au wenzangu nyinyi mmeshajikatia Tamaa au inakuwaje kuwaje aseee.! Daah
Muda wa majibu bado, nina imani bado wanaendelea na kuchagua na kuwapangia vituo. Wakikamilisha tutaona PDF.

Subiri ikifika July katikati ndio utaweza kuanza kufikiria hayo majibu
👇👇👇👇
 
Attachments

  • 202981029_118094107157340_6101465277430026874_n.mp4
    2.8 MB
Habari gani ndugu wanajamvi wezangu.

Ngoja niende kwenye hoja yangu moja kwa moja. Kuna ajira zilitangazwa na wizara na Afya, watu waliomba ikiwemo mimi mwenyewe. Yapata mwezi mmoja sasa tangu dirisha la kutuma maombi lifungwe, hakuna majina yoyote ya walio chaguliwa.

Anyway mimi niliomba kwenye Afya, sasa kila siku naangalia website za MOH na TAMISEMI sioni kitu au wenzangu nyinyi mmeshajikatia Tamaa au inakuwaje kuwaje aseee.! Daah
Tamisemi hawajafata kigezo cha kujitolea ila mwaka ulomaliza
 
Back
Top Bottom