Recent content by ELITE POWER

  1. ELITE POWER

    JamiiForums Tanzania Naweza kufanya kazi/shughuli gani kwa DSM ikaniingizia 20K daily?

    Kama jinsia ni ke hongera sana maana uchumi umeukalia.
  2. ELITE POWER

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na Milioni 10 leo, utachagua kufanya nini kati ya shughuli hizi tatu?

    Sijaanza rasmi kutumia Instagram kwasasa natumia Whatsapp pekee....ila nitafungua accounts huko siku sio nyingi.
  3. ELITE POWER

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na Milioni 10 leo, utachagua kufanya nini kati ya shughuli hizi tatu?

    Kwasasa nipo Morogoro ila mwezi October mwaka huu nitakua Dar es salaam.
  4. ELITE POWER

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na Milioni 10 leo, utachagua kufanya nini kati ya shughuli hizi tatu?

    Mimi nina mpango wa kuanza muziki pia mwanzoni mwa mwaka ujao so nilitaka tubadilishane contacts kwa ajili ya kupigana tafu hapa na pale kwenye masuala yetu ya muziki. I am a songwriter,singer and a bit dancer too.
  5. ELITE POWER

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na Milioni 10 leo, utachagua kufanya nini kati ya shughuli hizi tatu?

    Wewe ni mwanamuziki kaka? Kama ni mwanamuziki naomba mawasiliano yako PM tafadhali.
  6. ELITE POWER

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na hili naomba msaada

    Hii dawa ya minoxidil inauzwa bei gani? Nataka niijaribu na mimi maana nina kipara ndo bado kichanga kabisa
  7. ELITE POWER

    JamiiForums Tanzania Ni kipaji gani ambacho unadhani kama ungepewa sapoti ungefika mbali?

    Nina kipaji cha uandishi wa nyimbo (Bongofleva, Afrobeat,Amapiano,Gospel,Dancehall n.k.) pamoja na kuimba muziki aina zote na mpaka sasa nishaandika nyimbo takribani 16 za bongo fleva. Ningepata meneja wa kunisimamia kimuziki na kufadhili gharama za kurekodi nyimbo zangu naamini ningefika mbali...
  8. ELITE POWER

    JamiiForums Tanzania Tangu Vanessa Mdee aache muziki, hakuna mwanamuziki wa kike yeyote aliyeziba pengo lake

    Ukubwa unaanzia ndani kwanza.....huwezi ukawa maarafu overseas wakati nyumbani kwenu haujulikani,...mond ni mkubwa na ukubwa ameupata ndani kwanza
  9. ELITE POWER

    JamiiForums Tanzania Tangu Vanessa Mdee aache muziki, hakuna mwanamuziki wa kike yeyote aliyeziba pengo lake

    Nitajie hitsongs 5 za Vanessa Mdee. Huyu dada anasifiwa sana kuliko uhalisia wa uwezo wake....Alikua msanii wa kawaida sana sema ni kile kiingereza chake tu ndio kilikua kinawababaisha ninyi washamba.
  10. ELITE POWER

    JamiiForums Tanzania Kutafuta mchamba wa kike ili naye ndoa

    Kwanini hutaki mchumba awe muha wakati wewe mwenyewe ni muha?
  11. ELITE POWER

    JamiiForums Tanzania FT: Simba Sc 0-1 Azam Fc | NMB Mapinduzi Cup 2026| Nusu Fainali| New Amaan Complex Stadium| 8:15 Usiku

    Tusubiri kipindi cha tatu kinakaribia kuanza.
  12. ELITE POWER

    JamiiForums Tanzania Mke wangu simuelewi. Naombeni mawazo yenu

    Nipe Elimu mkuu mimi sijuagi kama mwanamke akifika anakuaje maana kwa sisi wanaume ni rahisi maana tunakojoa shahawa....sasa mwanamke Huwa anaonesha dalili gani? Mie naonaga kama wengi tu ni waigizaji labda angalau ukutane na squirter
  13. ELITE POWER

    JamiiForums Tanzania Mke wangu simuelewi. Naombeni mawazo yenu

    Huwa unajuaje kama umemfikisha?
  14. ELITE POWER

    JamiiForums Tanzania Mkishatongozana na kukubaliana,akuna kuoneana hayaa. Marufuku!

    Jifunze kwanza kuandika vizuri. Mwandiko wako unatia kinyaa.
  15. ELITE POWER

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yaliyotushinda Gen-X hawa Gen-Z watatutoa Kimasomaso?

    Hakutakua na nywi wala nywinywi..... watanzania waoga sana.
Back
Top Bottom