Kutafuta mchamba wa kike ili naye ndoa

Sifa zote hizo mtaani anapoishi ni mazombi wasimmwne?

By the way kwa mashary hayo kubali kushare
 
We jamaa ni mshamba sana.
una kazi ya serikali with all movements zako bado hujaona wa kuchukua namba umtongoze au wewe wao hawajui kazi yako wakushobokee wenyewe hata kazini hujui mashushu ofisini wapo wakukupeleleza umeoa, kazini mashushu watataka wajue unaishi vipi ulipo wakulengeshe mtoto wao.
Yaaani huko kigoma familia haijahangaika kukutengea muha aseee
We jamaaa ni muongo acha kutuchanganya akili sisi watu wazima.
nipe kazi nikutafutie mke unaye mtaka wa ndoto zako.
Ntafutie boss ntashukuru.
 
Nandhani mtu wa kuoa atafufutwi bali hutokea kama coincidence.

Ni rahisi kupata kitu chochote kwa vigezo unavyotaka ila sio binadamu ni impossible labda kama kutakuwa na technology ya kutengeneza binadamu kwa vigezo in the future.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom