Mwenye uzoefu na hili naomba msaada

Mwenye uzoefu na hili naomba msaada

Hawawezi kuandika kila kitu vingine unajiongeza mwenyewe,waandike wazi inashusha hamu ya ngono watamuuzia nani na wanajua hakuna mwanaume asiyependa kuipoteza hiyo hali na wanaume ndiyo wanaopata vipara?
Sahihii nimekuelewa
 
1. Upara ni kitu kizuri kwa mwanaume. Upara na ndevu/sharubu tumeumbiwa wanaume. Mwanaume yeyote anayechukia hivo vitu 2 ni mpumbavu sana!

2. Sababu kuu ya wanaume kupata upara huwa ni kwa sababu ya hormone ya TESTOSTERONE ambayo ni MALE HORMONE. Ndiyo maana wanawake hawapatagi upara kwa sababu hawana hii hormone. Hivyo ukitumia dawa ya kuzuia upara maana yake unaenda kushusha kiwango cha hii hormone ambayo ndiyo huwa inawapa wanaume sexual drive yao.
Eti ee kumbe wanawake hawapatagi upara mbona kama kuna Prof wakike anaupara lakini anaufunika na wigi halafu nimewaona kama watatu hv wakike wanaupara..hv nayo inakuwaje hapo mtaalamu.
 
Eti ee kumbe wanawake hawapatagi upara mbona kama kuna Prof wakike anaupara lakini anaufunika na wigi halafu nimewaona kama watatu hv wakike wanaupara..hv nayo inakuwaje hapo mtaalamu.
Ukiona hivyo jua wana some amount ya testosterone.

Pia wanawake hata kama atapata upara basi ni ule wa nywele kupungua tu au zinakuwa nyepesi.

Hawapatagi upara wa kung'aa kama lami wanaopataga wanaume.
 
Wakuu nilianza kupata changamoto ya hairline kurudi nyuma japo umri wangu ni miaka 28 nilijaribu kutumia mafuta mbalimbali but sikupata matokeo. Ni kwamba nywele zangu za mbele zimeanza kuondoka.

Baada ya kufeli nikaamua kutumia Minoxidil kirkland nakimbilia mwezi sasa but changamoto nayikutana nayo ni kwamba hisia zangu wakati wa tendo la ndoa zimekuwa chini sana kitu ambacho sikuwa nimekutana nacho before but sikuwa nmejudge sana nikajua ni mambo ya hisia tu.

Ila sasa leo katika pitaita zangu huko facebook kuna mtu alikuwa anatangaza bidhaa za minoxidil bac kuna mtu akacoment kwamba zilifanya akapoteza kabisa hisia wakati wa tendo la ndoa. Hapo ndipo namimi nikaanza kuunganisha na hali yangu nikaona maybe kuna ukweli.

Ndio sasa nikaamua kuleta hii mada huku nijue kama kuna mtu alishatumia Minoxidil akakutana na hiyo changamoto ya kupoteza hisia na kipi alikifanya ili kumuweka sawaa??

View attachment 3562811
Nywele kuanza potea ( hair loss) ni ishara mkuu una upungufu wa protein aina ya keratin inayounda nywele na kucha. Tuwasiliane kwa 0713 039 875 kwa dozi
 
Hii dawa ya minoxidil inauzwa bei gani? Nataka niijaribu na mimi maana nina kipara ndo bado kichanga kabisa
 
Back
Top Bottom