Recent content by Elisa-morningstar

  1. Elisa-morningstar

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanajua ni muda gani sahihi wa kumshinda Mwanaume

    Uwwwh nimechoka tena siyo mwili tu na akili pia pia duh! Aiseeeeeh
  2. Elisa-morningstar

    JamiiForums Tanzania Siri nzito za Dunia zinamilikiwa na watu wachache sana

    🔥🔥🔥
  3. Elisa-morningstar

    JamiiForums Tanzania Siri kumi(10) za dunia hizi hapa

    Watanzania wengi hawapendi mafunzo kabisa 😂😂basi nendeni kwenye comment za wenzetu abroad people wants exsperience but you guys ni kukosoana hamna maelekezo mazuri kwani mkisema na mnayoyajuwa nyie tukajuwa, tukashare idea, tukacheka kidogo, whats wrong with it😂
  4. Elisa-morningstar

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

  5. Elisa-morningstar

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    siyo tu sema u
  6. Elisa-morningstar

    JamiiForums Tanzania Can you imagine a life without music?

    Life is already enjoying when you’ll be in hospital what will you do with it 😂crying,regretting and remember the moments 😂
  7. Elisa-morningstar

    JamiiForums Tanzania Ndoto Juu ya nchi Yangu (I have a Dream )

    😂😂😂😂😂hiyo ya mchongo
  8. Elisa-morningstar

    JamiiForums Tanzania Anayeweza kuitafsiri hii ndoto anisaidie

    Kwasababu hujui ni nani ni adui, wewe unahisi huna adui lakini huwezi kupendwa na kila mtu, ukiwaambia watajuwa kuwa wewe unafahamu wanachofanya kila watatumia njia nyingine,yatakusanywa majeshi unaweza kupambana nayo??
  9. Elisa-morningstar

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya kuwa darasani au mazingira ya shule ina maana gani?

    Ndoto hii inamaanisha kuna mtu anakuchezea anakuzuia usipate kile una kitaka kujisikia mnyonge ni kukaya tamaa ya kuendelea kutaka kile ulichokuwa unataka, kubali mwenyewe darasani ina maanisha wenzako wote wanafaulu ila wewe utabaki darasa hilo hilo inamaanisha hautofanikiwa zaidi ya hapo...
  10. Elisa-morningstar

    JamiiForums Tanzania Ndoto hizi zimenichosha

    Ndiyo hiyo inamaanisha watu ulioishi nawo wanakwazika kwa kitendo cha wewe kuishi maisha yako mengine kwani yanayofanyika ndani ya familia ni mambo mengi sana, sali sana MUNGU ALIYE HAI AKITOE MAZINGIRA HAYO NA AKULETE MAZINGIRA YA SASA Keanu ukiota hivyo humaanisha utarudi nyuma kimaisha...
Back
Top Bottom