Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Mara nyingi nimewasikia watu wakisifia kula au kuliwa tigo, sasa kwa nini wanyama kama mbwa,mbuzi simba hawatumii tigo?

Swali la pili ni kwa nini wanyama dume kwa dume hawafanyi mapenzi pamoja kama Binaadam? Au tuseme hakuna mbwa shoga au simba shoga? Inakuwaje??? Au ndio tuseme wanyama wamewazidi Binaadam kwa akili?
Siku ya hukumu wanyama watawahukumu wanadamu
 
Tafiti zinathibitisha kuwa popo nao hua wanaingiliana dume kwa dume. Na kwa shuhuda za wachangiaji wengine kuthibitisha jambo hili ni wazi sisi wanaume ndo waanzilishi wa huu uchafu maana hamna ushahidi wowote wa wanyama majike kuwasaga wenzeo😀😆
 
Mara nyingi nimewasikia watu wakisifia kula au kuliwa tigo, sasa kwa nini wanyama kama mbwa,mbuzi simba hawatumii tigo?

Swali la pili ni kwa nini wanyama dume kwa dume hawafanyi mapenzi pamoja kama Binaadam? Au tuseme hakuna mbwa shoga au simba shoga? Inakuwaje??? Au ndio tuseme wanyama wamewazidi Binaadam kwa akili?
Wewe unaonekana kabisa sio mfugaji. I have witnessed jogoo na jogoo, bull and bull (cows) etc
 
Mtoa mada umekosea kuandika heading navyo dhania, mana kila anaye ingia humu ataonekana anapenda kula nyaa.

Ok sasa turudi kwenye thread yako mimi nakunga mkona 100%

Kitu kimoja huwa nakaa najiuliza kwanini hata Jogoo hajawahi kokosea step anapo mpanda kuku akiweka vitu ndani haweki nyuma, anaweka mbele siku zote...afu we tazama kichwa cha jogoo afu utazame cha binadamu...Hapo ndo utajua si hoja ukubwa wa kichwa ukadhani na ubonko wa akili utakuwa mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara nyingi nimewasikia watu wakisifia kula au kuliwa tigo, sasa kwa nini wanyama kama mbwa,mbuzi simba hawatumii tigo?

Swali la pili ni kwa nini wanyama dume kwa dume hawafanyi mapenzi pamoja kama Binaadam? Au tuseme hakuna mbwa shoga au simba shoga? Inakuwaje??? Au ndio tuseme wanyama wamewazidi Binaadam kwa akili?
Hilo la mwisho ndo jibu sahihi, wanyama wamewazidi akili binadamu wa kizazi cha leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara nyingi nimewasikia watu wakisifia kula au kuliwa tigo, sasa kwa nini wanyama kama mbwa,mbuzi simba hawatumii tigo?

Swali la pili ni kwa nini wanyama dume kwa dume hawafanyi mapenzi pamoja kama Binaadam? Au tuseme hakuna mbwa shoga au simba shoga? Inakuwaje? Au ndio tuseme wanyama wamewazidi Binaadam kwa akili?
Wewe ni mfugaji?..au ulisha fuga mifugo yote?....kwa taarifa yako wapo wanyama ukiwaweka madume matupo yanafanyana....mpaka inafikia mwatenganishe....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanyama mashoga wapo ila madume huwa hayana time nao so huwa wanahangaika kivyao
Mara nyingi nimewasikia watu wakisifia kula au kuliwa tigo, sasa kwa nini wanyama kama mbwa,mbuzi simba hawatumii tigo?

Swali la pili ni kwa nini wanyama dume kwa dume hawafanyi mapenzi pamoja kama Binaadam? Au tuseme hakuna mbwa shoga au simba shoga? Inakuwaje? Au ndio tuseme wanyama wamewazidi Binaadam kwa akili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo wanyama ni homosexual. Tena wengi tu. Nimeshawahi kushuhudia majogoo yakipandana!
 
Back
Top Bottom