Kuna manabii walishushwa kw ajili ya kulingania sehem ndogo tu na sio kwa ulimwengu wote sio ni Mtume Muhammad pekee ndo alitumwa kulingania kwa ajili ya ulimwengu mzima.
Kabla ya wao kulikua na manabii kwa upande wa uislam Muhammad ndo wa mwisho hakutakuja Mtume mwengine ila kwa upande mwengine wapo hao akina mwamposa na manabii wengine.
Ni mambo ya kawaida tu ayo uku kwetu askar wengi tu wanapigw na Raia na mtu haichukuwi ata week anachiwa ila baada ya apo askar huwa na heshima ata amuone apo anavunja sheria za barabaran hamulizi kitu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.