Udereva: motorist wengi wanaendesha kihuni kwa kutozingatia alama yoyote ya barabarani. Pia wanafanya wana haraka kuliko watumiaji wengine wote wa barabara na wanataka wawe wa kwanza kana kwamba kuna mashindano.
Dharau kati ya motorist na drivers: wenye magari wanawaona motorists kama adui na kutojali uwepo wao barabarani.
Miundo mbinu: Barabara zetu nyingi ni nyembamba sana na hazina sehemu ya waendesha pikipiki na waenda kwa miguu, kama zipo basi zimejaa mashimo na ni nyembamba sana.
Madereva wengi wanajifunza udereva wa kuwasha, ingiza gia na kutembea bila kusoma alama za barabarani na tahadhari zingine muhimu.
Pombe na bangi pia vina mchango mkubwa katika ajali hizi.