Pumbavu 😂
View attachment 3582179
Ai n vile unavyomlisha taarifa zako na sio kwamba anajua siri zako, hapa kwangu amekosea Vitu kibao tuu
Hamna, mengi sio ya kweli.Umejianika.. Kumbe 😅😅😅😅
Same to me aiseeSijawahi kutumia hiyo kitu.
Ni useless kabisa
Na huo ndo uhalisia mkuu..Kuna kipindi nilikuwa napenda sana kusoma habari za nyota ila mwisho wa siku nikaja kugundua jamaa walizipanga sifa za nyota ambazo kila mtu anazo, kwa mfano utaambiwa wewe unanyota ya punda pia wewe unakiu sana ya mafanikio, sasa swali la kujiuliza ni nani ambaye hana kiu ya mafanikio?
Nimemjaribu huyo AI naona ametembea na sifa zile zile za ujumla ambazo kila mtu anazo.....ni ngumu sana mtu kuweka tabia yake kwa AI mara nying watu huweka vijitabia vya muda mfupi ambavyo huwa havikai sana
EeeeeehHamna, mengi sio ya kweli.
Inasema yale ambayo Niliwah kumshirikisha na sio vinginevyoEeeeeeh
iinaku roast kutokana na yako.. Eeeh
Umepewa mipashoMuhuni huyu bichwa 😀View attachment 3582251
UmekaangwaPumbavu 😂
View attachment 3582179
Ai n vile unavyomlisha taarifa zako na sio kwamba anajua siri zako, hapa kwangu amekosea Vitu kibao tuu
Hio AI ya Kenya?Pumbavu 😂
View attachment 3582179
Ai n vile unavyomlisha taarifa zako na sio kwamba anajua siri zako, hapa kwangu amekosea Vitu kibao tuu
ChatgptHio AI ya Kenya?
Kama ulishamuuliza kuhusu dawa za gono atakukaanga vilivyoPumbavu 😂
View attachment 3582179
Ai n vile unavyomlisha taarifa zako na sio kwamba anajua siri zako, hapa kwangu amekosea Vitu kibao tuu