Recent content by El marabiosh

  1. El marabiosh

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    duh kila la kheri mkuu
  2. El marabiosh

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    kwa hiyo kumbe status ikibadilika ujue kunako jambo sio..?
  3. El marabiosh

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    hongera mkuu hii barua imeingia leo..?
  4. El marabiosh

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuachana na CHAPUTA ili nione kama nitarudi kuwa binadamu tena

    siku tatu nani kakuambia umeacha hapo umepumzika labda ukate mikono
  5. El marabiosh

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    yaah kesho sahili zinaanza
  6. El marabiosh

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    nawatakia kila la kheri mnaoenda kupambana na utumishi kesho
  7. El marabiosh

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    haina shida mkuu acha tupambane na hizi zilizotoka tuje tuongeze nguvu ya matusi uko wakati wa kunyanyua nguzo... 🤣 🤣
  8. El marabiosh

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    kwasasa ukifika degree umetangaza vita na serikali
  9. El marabiosh

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    dah nimeziona aisee mwanzoni nilivyoona wamemwaga nikashtuka nikasema vipi tena ukoo
  10. El marabiosh

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    wamemwaga nini
  11. El marabiosh

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    kuna mpaka uzi wa wanaotaka kuacha kazi niliuona juzi watu wanamakuzi aisee waliniuzi kichizi
  12. El marabiosh

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    subiri unaofuata
  13. El marabiosh

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    mpaka mwezi wa 12 mwishoni misiba itakua ni mingi
  14. El marabiosh

    JamiiForums Tanzania Mji mkuu wa Tanzania ilipaswa kuwa Arusha, Mbeya, Kilimanjaro au Mwanza

    kwa hiyo makao makuu ya nchi ni dar es salaam
  15. El marabiosh

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi kampuni na mashirika ambayo bado yanataka tuwe tunatuma barua na maoni kwa njia ya posta huwa yana maana gani

    Mimi nashangaa karne hii ambayo kuna email lakini utakuta bado kuna mashirika na taasisi wanataka tuwasilishe barua kwao kwa njia ya posta bomboclat.Hii inamaana gani..?
Back
Top Bottom