El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,074
- 6,480
duhhSidhani kama wamewahi kupokea simu ya mtu hao jamaa.
Ni miongoni mwa taasisi za umma zenye very poor customer service
duhhSidhani kama wamewahi kupokea simu ya mtu hao jamaa.
Ni miongoni mwa taasisi za umma zenye very poor customer service
Risk Officer IIKada gani mkuu
Ndio ni sahihi.Wakuu hivi ni kweli udereva ni miongoni mwao fani ambazo zina ajira nyingi??
Ni sahihi mtu mwenye shahada fulani ila akaamua kuweka vyeti vya udereva ili aweze kupata check number then afanye recategorization,?
Utumishi ni wizaraHivi ni UTUMISHI au ni Sekretariet ya ajira (PSRS)..?
Ndiyo Mwaka mzima umekaa ndiyo wakakuita duh ni mda mrefu aiseeRisk Officer II
Mara ya kwanza naanz usom huu uzi nilikuw sielew kwann wanachelew hivyo saiz ndio naanz kuuelew hii thread.!Wanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Wametoa ka pdf uchwara leonaona msimu wa placement umeexpire umeanza msimu wa interview
Kiiimyaaa kingiiKuna pdf huko leteni shuhuda
mbona kweli mkuu vip umejuaje kama kuna pdf jingineKuna pdf lingine linapikwa huko either litoke jioni hii au usiku sana
Shukrani sana mbet mkeka wetu, hili la sasa hivi wamenikumbuka 🙏🏽🙏🏽🙏🏽Kuna pdf lingine linapikwa huko either litoke jioni hii au usiku sana
hongera mkuuShukrani sana mbet mkeka wetu, hili la sasa hivi wamenikumbuka 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
kwema sana mkuu. vp huko idara ya afya mnaendeleaje na kazi?Wakuu kwema..
Nawasalimu kwa jina la Upambanaji
Shukrani sana mbet mkeka wetu, hili la sasa hivi wamenikumbuka 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Hongera sanaShukrani sana mbet mkeka wetu, hili la sasa hivi wamenikumbuka 🙏🏽🙏🏽🙏🏽