HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu hivi ni kweli udereva ni miongoni mwao fani ambazo zina ajira nyingi??

Ni sahihi mtu mwenye shahada fulani ila akaamua kuweka vyeti vya udereva ili aweze kupata check number then afanye recategorization,?
 
System inagoma unatakiwa uwe na chet Cha udereva na chet Cha form fo
 
Wakuu hivi ni kweli udereva ni miongoni mwao fani ambazo zina ajira nyingi??

Ni sahihi mtu mwenye shahada fulani ila akaamua kuweka vyeti vya udereva ili aweze kupata check number then afanye recategorization,?
System inagoma unatakiwa uwe na chet Cha udereva na chet Cha form four kwenye mfumo
 
Sahihi
Binafsi mpaka sasa sijaupload cheti cha shahada nimeweka mpaka form Four now nipo kwenye mchakato wa kupata leseni class E

Ili niweze kuingia kama driver II
Then nifanye recategorization je nipo sahihi au napoteza muda mkuu?
Utaweza kuvumilia kuona wenzio wenye degree kama wewe wanalipwa TGS D,wewe unalipwa TGS A?
 
Back
Top Bottom