HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu mwenye uzoefu msaada tafadhari, Hivi nafasi za tutorial assistant kwa udsm zinachukua muda gani
1. Toka post itangazwe mpaka kuitwa written
2. Matokeo ya written mpaka kuitwa Oral
3. Toka Oral mpka kuitwa kazini
Kwa wenye uzoefu .
Natanguliza shukrani wakuu🤝🤝
 
toka oral mpaka kazini huwa ndani ya mwezi mmoja tu
 
Jana tumepiga written ya NAOT,AUDITOR GRADE II nimetoboa,tuendelee kuombeana wakuu..next week nina kimbembe cha oral
 
Attachments

  • Screenshot_20260814_222123_Chrome.jpg
    Screenshot_20260814_222123_Chrome.jpg
    57.5 KB · Views: 10
Mkuu nilishalamba asali mwezi uliopita, acha nishuke kwenye hili gari
Bado kuna jini la uhamisho lina kusubiri.
Karibu kwenye mapambano ya vita mpya ya uhamisho.

Kama una connection ya kukuhamisha hongera.

Ila kama huna basi njoo tuteseke wote.

4 yrs now nateseka na uhamisho, japo mwaka huu mwanga ndio umeonekana rasmini kwa mbalii.

Karibu kwenye mateso mapya.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Mbona kwa sasa silipwi hata mia na nina vumilia tu na ujobless?
Sahihi
Binafsi mpaka sasa sijaupload cheti cha shahada nimeweka mpaka form Four now nipo kwenye mchakato wa kupata leseni class E

Ili niweze kuingia kama driver II
Then nifanye recategorization je nipo sahihi au napoteza muda mkuu?

Utaweza kuvumilia kuona wenzio wenye degree kama wewe wanalipwa TGS D,wewe unalipwa TGS A?

Sio TGS A ni B halafu

Inawezekana braza.
Utakomaa mwaka mmoja na wapili utafanyiwa recategorization.
Kifupi ni cheki namba tu, mengine yatajipa hukohuko.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Bado kuna jini la uhamisho lina kusubiri.
Karibu kwenye mapambano ya vita mpya ya uhamisho.

Kama una connection ya kukuhamisha hongera.
Ila kama huna basi njoo tuteseme wote.
4 yrs now nateseka na uhamisho, japo mwaka huu mwanga ndio umeonekana rasmini kwa mbalii.

Karibu kwenye mateso mapya.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
DUh!
Kumbe kuajiriwa sio mwisho wa mapambano?
Nilijua ukiajiriwa mambo yanateleza tu kwasababu una check no
 
DUh!
Kumbe kuajiriwa sio mwisho wa mapambano?
Nilijua ukiajiriwa mambo yanateleza tu kwasababu una check no
Nipo nasubiri barua yangu ya uhamisho kwa hamu kama wewe unavyosubiri yako kwenye ajira ajira portal.

Wewe unakomaa na Ajira portal
Mimi nakomaa na ESS.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Back
Top Bottom