Recent content by Ekuweme

  1. Ekuweme

    JamiiForums Tanzania Full Time: NBC Premier League: Young Africans 3-0 Singida Big Stars 🌟: KMC Complex

    Una uhakika hatukumfunga? Wamepewa na Simba au Refa kule Zanzibar? Wamepewa na Simba au Refa aloyechezesha mechi yao na KMC?
  2. Ekuweme

    JamiiForums Tanzania Bodaboda wapo tayari Kwa maandamano 7 April, 2026

    Serikali ilituaminisha tuna akiba ya mafuta yatakayotosha mpaka mwezi wa sita, kwanini wapandishe bei saa hizi?
  3. Ekuweme

    JamiiForums Tanzania Elie Mpanzu asaini mkataba mpya wa miaka miwili Simba

    Huyu si walisema ana mapenzi na Yanga na kwamba msimu ujao atakipiga jangwani?
  4. Ekuweme

    JamiiForums Tanzania Simba wana TFF Yanga wana Mungu, wote sare

    Hata kabla sijaanza kusoma huu uzi nataka nikuhakikishie ulichokiandika ni Vice versa. Tena Yanga si tu wana TFF bali na ushirikina pia
  5. Ekuweme

    JamiiForums Tanzania Full Time: TRA United 0 🆚 0 Young Africans SC, Machi 18, 2026, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid

    Bora yule kocha mzee wa kununa muda wote. Jina limenitoka
  6. Ekuweme

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka?

    Visukari kwa wanaume wao ndio tatizo
  7. Ekuweme

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lolote litakalonikuta Oktoba 29, 2025 waambieni watoto wangu nilipambana kuitafuta haki na uhuru

    Noted. Na ungependa ukazikiwe Kisutu au Kinondoni?
  8. Ekuweme

    JamiiForums Tanzania Majeshi ya Israel jioni hii yanatoa adhabu kwa Wahouth huko Yemen!!

    Naipenda sana Israel lakini ifike hatua iache kugombana na nchi nyingine! Tunajua hawanaga show mbovu wakiamua kuadhibu hawa jamaa ila naona ni kama kuna mazingira mengine wanatoa kichapo bila sababu za msingi
  9. Ekuweme

    JamiiForums Tanzania Refa Akikosea, Shughuli Yake Imeisha: Wallace Karia

    Kwa hiyo anataka kusema magoli ya mkono kama ya ma BAKA ma BAKA hayaruhusiwi?
  10. Ekuweme

    JamiiForums Tanzania Kwanini MO Dewji anataka kufunga kiwanda chake cha chai Nchini Tanzania? Bashe amgomea!

    Inawezekana ni kwa sababu Mo hakuchangia hata senti kwenye harambee ya CCM wakati Jiesiemu alitoa 10B
  11. Ekuweme

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Wanaume pia hupata mzunguko wa hedhi kama wanawake

    Wewe unaingiaga kila tarehe ngapi ya mwezi?
  12. Ekuweme

    JamiiForums Tanzania CHADEMA walipaswa kumwandikia Msajili wa vyama vya Siasa hayo malalamiko yao na Siyo Mkuu wa Majeshi!

    Eti wamwandikie nani? Huyu huyu aliyezuia ruzuku yako mpaka akashindwa mahakamani juzi kati? Au msajili wa vyama vya siasa gani?
Back
Top Bottom