Recent content by ejom

  1. E

    Kashfa Bandarini Dar: Rais Magufuli amsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa TRA, Rished Bade

    Katibu kiongozi alionyesha makaratasi yenye majina ya wamiliki wa macontainer namba za nagari yaliyobeba mizigo hiyo na madereva walio husika mbona hawawataji majina badala yake wanasema wakalipe,walitakiwa wakamatwe pale pale wastakiwe na wafilisiwe,au nchi itatikisika
  2. E

    Magari ya Kizamani Unayakumbuka?

    kama hili nimeliagiza juzi tu
  3. E

    Msaada matibabu ya mtoto wa jicho (cataract)

    Nipo Mbeya baba yangu anashida ya mtoto wa jicho (cataract) na sina uwezo wa kufika Dar es salaam CCBRT naomba msaada kwa yeyote anyejua wapi naweza kupata matibabu ya baba yangu hapa Mbeya
  4. E

    Dr H. Mwakiembe atapona na mtashangaa!

    Jamani huyu EL tumsusie kwenye makanisa anamopita kujinadi tusimkubali ni muuaji huyu bwana
  5. E

    Naonekana kama mvuta bangi

    una dalili zote za allergic conjuctivitis tumia prednisolone eye drops pamoja na sodium chroglycate eye drps
  6. E

    Kichunusi kama kijipu kimetokea kwenye kope za jicho nisaidieni dawa jamani

    Kitaalam kinaitwa CHARAZON matibabu yake ni incision and drainage(I&D)
  7. E

    Lukuvi ana bifu ya uchaguzi na Msigwa

    Nijuavyo mimi Jimboni kwa Lukuvi hakuna hata umeme,Njaa kwa mkoa wa Iringa ni jimboni kwake Lukuvi,Lakini amekomalia kubishana na msigwa,nakushauri lukuvi fikilia kwanza kutatua shida ya chakula na umeme kwako achana na Msigwa
  8. E

    Msaa kwa operation ya mtoto wa jicho

    Baba yangu ana mtoto wa jicho nipo mbeya nimpeleke Hospitali ipi hapa Mbeya naomba msaada
  9. E

    nitamjuaje mwenye simu yenye namba za airtell?

    nimepigiwa simu na mtu namba zake ni za Airtel katika kuongea kaaza kunitukana sasa ninataka kujua huyu mtu ni nani nitumie njia gani kumpata
  10. E

    Nape atasafisha chama alichokuwa anakichafua?

    D Slaa amekwisha taja wewe hujataja sasa hapo nani anaigiza,Nape ngoma huiwezi wewe
  11. E

    Hili la Loliondo tulifikiria au tulikurupuka!

    Nina mwezi sasa toka nimesimama kunywa dawa za kisukari sukari yangu iko chini,utanidanganya nini.hebu soma madhara ya dawa za kurefusha maisha wanzo kunywa watu walioathilika na UKIMWI hasa kwenye ini.
  12. E

    Uhalali gani serikali kutoa msaada kwa mchungaji mwasapila- loliondo

    msaada wa thamani gani Serikali imetoa kwa Babu kama Babu,Wano kwenda kwa babu ni watanzani,shida yako iko wapi.
  13. E

    Zitto amjia juu Waziri Mkuu: Aandika barua kuhoji matumizi ya "Stimulus Package"

    Haya wabunge wa CCM mnaona wezenu wa CDM wanvyo ibua mambo zomeeni na hilo.Halafu kwanye maandamano ya kujivua magamba mliseme na hilo la Stimulus Package
  14. E

    Makamba: Msifadhaike!

    Nikionacho mimi Kazi iliyo fanywa na CHADEMA katika mikoa ya Mwanza,Shinyanga,Musona N.k ndiyo matokeo ya yote hayo
Back
Top Bottom