Lukuvi ana bifu ya uchaguzi na Msigwa

Lukuvi ana bifu ya uchaguzi na Msigwa

Sikujua kwa nini Lukuvi mtu mzima kama yule alisismama na kujaribu kupambana na damu mpya. Lilikuwa ni kosa la kiufundi kwani badala ya kuonekana HERO alionekana COWARD tena waziri mzima anajaribu kukandamiza wanasiasa wenye maono ili tubaki katika giza. Ni kwamba kamwambieni Lukuvi heshima imeshuka kwa asilimia 20 baada ya kujiingiza ktk vita ambayo kwa kila dalili ilionekana kumwelemea labda akatafute mamluki. Kwa heshimu angenyamaza tu na isinge make difference.

HEBU TUANZISHE UKURASA WA KUWAZOMEA MIVIONGOZI YA OVYO
 
Lukuvi ni mtoto wa kinyalu wa Mzee Vangimembe,kwa taaluma ni mwalimu wa UPE alikwenda kozi ya propaganda kule Urusi enzi za Mwalimu na hakupata cheti chochote kwa kozi hiyo kule urusi labda ndani ya ccm baada ya kurudi! Kutokana na nidhamu ya kijinga mwalimu alimpa kibarua cha kujitole cha usalama wa ccm,huo ndio mwanzo wa umaarufu wa kijana Wiliam Vangimembe Lukuvi mwenye nidhamu ya kizamani katika zama za wasomi na wanamageuzi!!!!!
 
Nijuavyo mimi Jimboni kwa Lukuvi hakuna hata umeme,Njaa kwa mkoa wa Iringa ni jimboni kwake Lukuvi,Lakini amekomalia kubishana na msigwa,nakushauri lukuvi fikilia kwanza kutatua shida ya chakula na umeme kwako achana na Msigwa
 
CCM walitumia zaidi ya bilioni 1 point 2 katika kampeni za jimbo la IRINGA MJINI,lakini wakaangukia pua,MSIGWA anakubalika sana IRINGA,ndiyo mana mandamano ya IRINGA yalifunja rekodi nyanda za juu kusini,then LUKUVI ni fisadi wa elimu hajaenda shule kama mnakumbuka kile kitabu kilichotolewa kuhusu mafisadi wa elimu.
 
HUYO NAE NI MMOJA WA WENYE DIGRII FEKI a.k.a fisadi wa elimu AU MMESAHAU KWA HIYO MSISHANGAE KWA ANAYOYAZUNGUMZA
 
Back
Top Bottom