Uhalali gani serikali kutoa msaada kwa mchungaji mwasapila- loliondo

[QUOTE=langei;1860194]Nadhani serikali yetu ina upe mdogo sana na sikutegemea kama viongozi wa ngazi za juu wangejitokeza kuhamasisha watanzania kukimbilia kwenye tiba ambayo hadi leo tamko la serika lilotolewa juu ya dawa ya babu in kuwa haina madhara,vile vile wataalam wetu wa afya ni sifuri kabisa na hii inatokana na siasa kutumika hata pasipo takiwa,ni aibu ila yote ya yote napmongeza babu sana.[/QUOTE]

UKiugua ukakosa tiba ndipo utakapojua kwa nini watu wanaenda kwa babu.
 
msaada wa thamani gani Serikali imetoa kwa Babu kama Babu,Wano kwenda kwa babu ni watanzani,shida yako iko wapi.
 
Hivi wanajamii wenzangu kauli ya msekwa juu ya nafasi ya Spika kuwa angefaa zaida mwanasheria kusema hivyo ni dhambi,au kauli hii ni tatizo kwa wenzangu...
 
Napenda wenzangu wenye upeo mpana mnisaidia kutabiri maisha ya mhe huyu yatakuwaje hasa baada ya kujikita zaidi kwenye siasa ya Tanzania.
 
Kweli mkuu. Serikali haijatoa msaada kwa babu. Ilichofanya kama imefanya ni kuboresha mazingira kwa ajili ya wagonjwawanaomiminika huko. Watakaofaidika ni wagonjwa na wenyeji wa huko sio babu!!!!

ugonjwa wa serikali ni kuhubiri wasichoamini, karne ya sayansi na teknolojia hawaboreshi mazingira ya huduma za afya wanakimbilia tiba zisizo na ithibati kisayansi, tunatia aibu na ndo maana wahisani wanatuona mabwege. Huyo babu akiota anakufa kesho atawaambia? Sasa nimejua tunaongozwa na wagonjwa sugu, kujivua gamba ni geresha hawana nia ya dhati kubadilika
 
Back
Top Bottom