Recent content by ejogo

  1. E

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane ya Pugu Sekondari

    Docebit vos Omnia = He will teach you everything
  2. E

    JamiiForums Tanzania Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Matokeo ya kibaha yapoje?
  3. E

    JamiiForums Tanzania Miaka saba toka kujiunga JamiiForums

    Hongera mkuu!
  4. E

    JamiiForums Tanzania Tukio hili linaweza kuwa ushahidi kwamba tukifa tunarudi duniani kwa miili mingine??

    kama unaamini hivyo, pia ujiulize ongezeko la watu duniani linatoka wapi?
  5. E

    JamiiForums Tanzania Huu Utitiri Wa Gesti Mjini Songea Unaashiria Nini?!!

    ni mitaa yote uliyotembelea umekutana na hizo guest house? Maana nijuavyo kwa miji yetu midogo guest house nyingi huwa zinajaa sehemu moja ya mjini. jaribu kufanya tena research kwa kuzunguka mji huo wote na mingine kadhaa then uje na conclusion yako.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Hongera JK, Omba Muhula Wa Tatu

    Duh!!!
  7. E

    JamiiForums Tanzania Tujadili: Uamuzi wa kuzuia bodaboda kuingia katikati ya jiji ni sahihi?

    Ulichoongea mkuu ni kweli ila kumbuka kuwa china miundombinu yao inaruhusu hayo. Asilimia kubwa ya barabara zao wameweka njia za pikipiki na baiskeli na za waenda kwa miguu. Changamoto kwetu ni kuweza kuweka njia za vyombo hivyo na si kama sasa ambapo bodaboda zinajichanganya katikati ya magari...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Sauti za wananchi wa Dar kuhusu tatizo la foleni

    Foleni ni majanga na ni talk of the day everyday. Hayo yaliyosemwa na wadau wa sauti ya wananchi wa dar kuhusu tatizo la foleni ni kweli yanachangia sana tatizo la foleni. Tukijaribu kurekebisha hayo foleni itapungua kiasi chake. Kuongeza Kujenga barabara mpya na kupanua zilizopo si suluhisho la...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Kumbe Mji wa Dar inawezekana ukawa ni mzuri

    Watendaji wa serikali wahusika wa kusimamia usafi na mpangilio wa jiji huwa wanalala usingizi mpaka hawa machinga wanaweka biashara zao sehemu zisizotakiwa na baadae wanakuwa kama wamezinduka na kuwabugudhi machinga. Hivi kwanini wasiwe wanapatrol na kama wakikuta mtu ameweka biashara yake eneo...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Hivi Alliens wanakula chakula gani?

    Inasemekana kuwa aliens wana milango ya fahamu mingi zaidi ya tuliyonayo binadamu.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania iko hoi kifedha, asema CAG

    Kimetokea nini mpaka tuchoke hivi!! Ndio maana hata mishahara sasa inalipwa kwa kubahatisha!! Awamu ya nne ilipoingia madarakani ilikuta akiba ya kutosha mpaka nyingine ikaanza kuzigawa, sasa nini kimetokea mpaka hata pesa ya kula inakuwa ya kubahatisha!!
  12. E

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli, wajibika kisiasa! Unahusika kwa hili...!

    Bange hii!
  13. E

    JamiiForums Tanzania Kesho, Jumatatu ni siku ya mapumziko Tanzania Bara na Zanzibar

    mkuu viongozi wetu wametangaza leo huko zanzibar kuwa kesho ni mapumziko Zanzibar na Tanganyika achana na hiyo ya maulid ya jumanne. kazi ni mpaka juma5. Kaaazi kwelikweli!
  14. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Aibu Tupu!

    Hata viwanja vyao tope tupu.
  15. E

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha milonge

    Asante mama joe, nitacheck na imalaseko.
Back
Top Bottom