Kenya Aibu Tupu!


K

K-Boko

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2013
Messages
700
Likes
7
Points
35
K

K-Boko

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2013
700 7 35
Timu kadhaa zilizoshiriki Senior Challenge Cup huko Kenya, ikiwemo Zanzibar Heroes, zimekwama kwa siku kadhaa zikisota nchini humo hata baada ya kutolewa mashindanoni. Kutokana na sintofahamu hiyo, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar leo imeingilia kati na kuwarudisha mashujaa wake kwa ndege ya kukodi baada ya kuchoshwa na danadana za wenyeji kupitia Shirikisho lao la soka-FKF. Kwa kuzongwa na hasira, viongozi wa Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) wamesita kutoa kauli leo kwa kuhofia kukurupuka na kauli inayoweza kuvuruga uhusiano wa nchi!

Source: Radio One Stereo (7:30 p.m. Sports Programme)
 
E

ejogo

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2009
Messages
994
Likes
5
Points
35
E

ejogo

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2009
994 5 35
Hata viwanja vyao tope tupu.
 
J

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Messages
14,666
Likes
9,359
Points
280
J

JokaKuu

Platinum Member
Joined Jul 31, 2006
14,666 9,359 280
..wangeachwa huko huko. si wameshindwa??
 
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
6,635
Likes
704
Points
280
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
6,635 704 280
Mpira kitu kingine kabisa, tumeshindwa kila jaribio
 
I

Issma_jembe

Member
Joined
Dec 11, 2013
Messages
39
Likes
0
Points
0
I

Issma_jembe

Member
Joined Dec 11, 2013
39 0 0
Kwanini nishangae FKF kushindwa kuzigharamia timu shiriki usafir wa kurudi makwao wakati viwanjani hakukua na watazamaji na hata hawo tulokua tunawaona hawakuwa wakilipa viingilio,wameta hasara mno..Musonye na wenzake ni aibu kweli..:)
 
mwangalingimungu

mwangalingimungu

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Messages
1,196
Likes
346
Points
180
mwangalingimungu

mwangalingimungu

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2013
1,196 346 180
Wakati umefika wa kubadilisha mifumo ya mashindano ya CECAFA ili yalete msisimko na hivyo kwenda kibiashara zaidi. Enzi za Gossage hakukuwa na wadhamini wala mechi hazikuonyeshwa fawahisha (live), zilitangaziwa tu redioni. Lakini zilivuta hisia za Afrika ya Mashariki nzima. Hata mashindano yalipobadilshwa kuwa Challenge msisimko uliendelea, kiasi cha kuwa na Junior Challenge ambayo nayo ilibamba si haba. Tangu Shirikisho la Mpira la Afrika ya Mashariki kuwa CECAFA kwa nchi washiriki kuongezeka, msisimko uko kwenye mteremko. Tujiulize kulikoni, nahisi bado mashindano haya na ya vilabu yanabaki kuwa ni muhimu kwa ukanda huu.
 

Forum statistics

Threads 1,252,211
Members 482,048
Posts 29,800,630