Miaka saba toka kujiunga JamiiForums

Miaka saba toka kujiunga JamiiForums

upupu

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2008
Posts
614
Reaction score
198
Wapendwa, Kesho Mungu akijaalia nitakuwa nimetimiza miaka 7 toka nilipojiunga na JamiiForums, humu kumekuwa na mengi sana ya kujifunza, naweza nikapaita ni kama shamba lenye kila aina ya mazao!! Ni wewe tu kuvuna unayoyapenda na kuacha usiyoyahitaji, wapandaji wa mazao wanapanda tu, mpaka mbigili zimo humu.
 
Hongera -----, jina lako linanikumbusha enzi za kuoga mtoni. Ila Hii sheria mpya inakwenda kutulimit Haki zetu na Uhuru tuliouzoea hapa JF, Na hasa katika kuelekea uchaguzi Tutashindwa kujadili kwa uhuru na haki madhaifu ya Viongozi wababaishaji.
 
Wapendwa, Kesho Mungu akijaalia nitakuwa nimetimiza miaka 7 toka nilipojiunga na Jamii forum, humu kumekuwa na mengi sana ya kujifunza, naweza nikapaita ni kama shamba lenye kila aina ya mazao!! ni wewe tu kuvuna unayoyapenda na kuacha usiyoyahitaji, wapandaji wa mazao wanapanda tu, mpaka mbigili zimo humu.
-----..!!

Ni kweli mkuu. mengi yapo humu, ni kazi ya mtumiaji kuchagua
 
Wapendwa, Kesho Mungu akijaalia nitakuwa nimetimiza miaka 7 toka nilipojiunga na Jamii forum, humu kumekuwa na mengi sana ya kujifunza, naweza nikapaita ni kama shamba lenye kila aina ya mazao!! ni wewe tu kuvuna unayoyapenda na kuacha usiyoyahitaji, wapandaji wa mazao wanapanda tu, mpaka mbigili zimo humu.
-----..!!

...na wengine wamekuja kuotesha 'migebuka' kwenye jukwaa la siasa,yaaani ni full shombo kila unapokanyaga ni migebuka! mawese! migebuka! mawese! migebuka!....
 
Hongera zako, kwa kweli humu pana maarifa na vilevile pana upuuzi mwingi tu...majukwaa mengi yamekuwa jokes and gossip..
 
Moderator hamisheni hii thread Complaints, Congrats, Advice
 
Last edited by a moderator:
Safi kabisa mkuu,
Halafu kwanini jina lako tuki li quote
hapa halitokei???
 
Daaa kumbe miaka inasonga!!! Nami nimetimiza miaka 7 !!!
 
upo miaka 7,sijawah kuona thread yako hata moja,uwepo wako umetusaidiaje wengne tuliopo humu?inawezekana upo tu kwa kuongeza uelewa wako na si kwa kuongeza uelewa wa wengne.
 
Back
Top Bottom