Ndo shangaa sasa, kwanini ziwe nyingi Songea tu pengine kuliko hata nyumba za kuishi!...
ni mitaa yote uliyotembelea umekutana na hizo guest house? Maana nijuavyo kwa miji yetu midogo guest house nyingi huwa zinajaa sehemu moja ya mjini. jaribu kufanya tena research kwa kuzunguka mji huo wote na mingine kadhaa then uje na conclusion yako.
Pole sana mkuu huenda hata kufika Songea hujawahi,.
ni mitaa yote uliyotembelea umekutana na hizo guest house? Maana nijuavyo kwa miji yetu midogo guest house nyingi huwa zinajaa sehemu moja ya mjini. jaribu kufanya tena research kwa kuzunguka mji huo wote na mingine kadhaa then uje na conclusion yako.
uhalisia gani tena mkuu,. Wingi wa Gesti?
ndiyo maana nikaanzisha thread ili tupate majibu mkuu!!
Ndiyo, nipo Songea mwaka wa pili huu sasa,.