Recent content by Einsten

  1. Einsten

    Huwezi kuitenga BRICS na ushoga, wanachama wote wanaukubali!

    Sasa Brics kuna nchi gani inayoweza kutos donation ya maana hapo ndugu, China ndio mkubwa kiuchumi lakn nao hawatoi misaada kama western countries. Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
  2. Einsten

    Samsung note 10+ duka gani nitaipata ambayo haijachakachuliwa?

    Na hapo ndio wafanyabiashara wanapotumia kupiga watu unakuta mtu ana duka kariakoo, makumbusho na mlimani city ila simu zote anachukua sehem moja anajua ukikimbia kariakoo anaenda kukukamatia mlimani city tena kwa bei kubwa. Kama una ujuz wa simu ata manzese tu unanunua simu na unaangalia kama...
  3. Einsten

    Jinsi ya kutambumbua Samsung note 9 original

    simu ya miaka 4 nyuma unategemea uuziwe kwa laki 9 hzo bei zake ni kuanzia 380 - 500 ikizid hapo ujue unapigwa wengi wanauziwa simu used za china na USA kwa kigezo cha kuambiwa kuwa ni used from KOREA kisa single line[emoji23][emoji23][emoji23]
  4. Einsten

    Jinsi ya kutambumbua Samsung note 9 original

    Note 8 ya 32GB uliitengeneza wewe maana samsung kwa series kuanzia note 8 na s8 walianzia 64GB
  5. Einsten

    Mwenye ufahamu kuhusu hizi simu za Oppo ,A57 hebu tujuzane, nimezikuta Dubai nataka nizizowe ila sina ufahamu nazo.

    kaka hzo simu kama ni mfanyabiashara wewe nunua zile za bei rahisi ambazo bongo utauza kuanzia 160-200 watanzania wengi hawaangalii processor wanaangalia price. Bei ya oppo A57 Tanzania inajulikana ni kuanzia 160 - 200 sasa ukizidisha hapo utapiga nazo picha mwenyewe.
  6. Einsten

    Mwenye ufahamu kuhusu hizi simu za Oppo ,A57 hebu tujuzane, nimezikuta Dubai nataka nizizowe ila sina ufahamu nazo.

    Kama huna tamaa unapata faida boss mm huwa naagiza china oppo A 57 faida yake ni 50-60 kama huna tamaa ya kutaka kutajirika mapema
  7. Einsten

    Biashara imenishinda, nimerudisha fremu ya watu

    Usiseme jamaa wako ingiza mtaji wako ndio utajua bodaboda ikoje hyo biashara ni pasua kichwa wanaoiweza ni matajiri unakuta ananunua bodaboda 300 alaf anazigawa kwa vijana na hela anazo za kutosha ukileta zengwe anachukua chombo chake na wewe ukiendelea kuleta mdomo unajikuta upo polisi...
  8. Einsten

    Watumishi kuondolewa ghafla katika Zoezi la Sensa si uungwana

    Arusha kuna kata walimu wamejipachika wote majina yao yaan watumishi wana njaa hatar mpaka hzo laki 7 mngewaachia vijana (Jobless) nao wajipooze kidogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  9. Einsten

    Waalimu na watumishi msipobadilika mtakufa masikini

    Kaa kimya kuna watu hyo laki 5 wakipata wanafanya za maana sana na sio wote watazitumia vibaya, kuna wengne wanaweza wakatumia kuinvest kwenye kilimo, kuna wengne walianzisha ujasiriamali so wangepata hyo wangefanya kuBoost biashara zao, na kuna wengne hyo hyo wangeweza kufungua biashara na...
  10. Einsten

    Waalimu na watumishi msipobadilika mtakufa masikini

    Yaan ilitakiwa waajiriwa wasiapply hizo kazi wawaachie vijana ambao hawana ajira maana kwenye hao vijana 1000 basi 100 wanaweza wakazitumia pesa vizur na kupata mtaji wa kujiendeleza kwenye shughuli za kujikwamua kiuchumi. Ila kitendo cha waajiriwa nao kuapply na mbaya zaid wao ndio...
  11. Einsten

    Kwa anayefahamu website za kuuza picha za asili

    vitu vingne ni kuchoshana ukishatajiwa website wewe unatakiwa uingie kwenye website husika na kuanza kufuatilia taratibu zao sasa unataka mtu akutajie mpaka mode of payments duuuh au ndio uvivu wa kusearch tu hyo jina?.
  12. Einsten

    Nawaza kufungua kampuni ya kilimo ili wanaotaka kulima walime bila kuingia shamba

    Kilimo hakina mjanja kuna kampuni ina wataalam wa kilimo mpaka wa nje ya nchi South Africa, india ukiachana na vijana kibao wa SUA lakn mwaka huu wamefeli vibaya mno.
  13. Einsten

    Waalimu na watumishi msipobadilika mtakufa masikini

    Sijawahi kuapply tangu nilivyofanya BVR 2015 Kipind nimemaliza chuo now nipo na biashara zang siwez kuacha kaz zang nikang'ang'anie laki 7 mwez mzma. Ila nmetoa ukweli maana nmeona vijana wanalalamika sana mtaan na ukweli wamechukua walimu ambao mpaka wengne ni majiran zang alaf wanadai kuwa...
  14. Einsten

    Waalimu na watumishi msipobadilika mtakufa masikini

    Alaf mbaya zaid kwenye makaratasi yaliyotoka wameandika "HANA AJIRA" wakati tunawajua ni walimu wa muda mrefu na tunashinda nao vijiweni kila siku kuzungumzia simba na yanga[emoji23][emoji23]. Walimu mjitafakari upya maana mnatia aibu.
  15. Einsten

    Waalimu na watumishi msipobadilika mtakufa masikini

    Wengi wanakubeza ila ukweli ndio huo kuna baadhi ya kata mkoa wa mbeya, Arusha wamefanya mambo ya ajabu sana. Arusha kuna mpaka wale waliokuwa kwenye pannel ya interview nao wamejochomeka yaan wamewaweka Walimu wote kwenye matokeo na vijana wote wametemwa. Mbeya kuna kata kama 6 hv kwa taarifa...
Back
Top Bottom