Kiti Chema
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,793
- 1,968
Yaani imulike kwanza ndio upige picha unakiona kitu, sijui utakuwa umenielewakwani si ndio flash inapiga hivyo au unataka ikimaliza kuchukua image iendelee kukumulikia???
Yaani imulike kwanza ndio upige picha unakiona kitu, sijui utakuwa umenielewakwani si ndio flash inapiga hivyo au unataka ikimaliza kuchukua image iendelee kukumulikia???
Yaani imulike kwanza ndio upige picha unakiona kitu, sijui utakuwa umenielewa
S10+ nadhani hadi kwenye laki 9 unapata kwa sasa
Safi sana,mambo yanazidi kuwa mazuri,binafsi nimetumia s10 + na uhawei p30 pro nazikubali na kuziheshimu sana hizo simu,kuna jamaa yangu aliwahi kutumia nae hizo simu then aka upgrade kwa s20 ultra akadai zina tofauti ndogo sana kwenye perfomancelaki 9 nyingi sana kwa sasa hizo hadi 600k unapata.
Ndio hapo nataka kujua niangalie vitu gani muhimu maana hata zile code wanazotumia Samsung wanasema zinarun hata kwenye cloneMtoa mada kasema Note ila kuna Mazuzu yanachanganya madesa yanasema S9niwaambie kitu Wajuaji wa jf S9 na Note 9 ni Simu mbili tooofauti kabisa! Kwahiyo Note 9 kwa bei hiyo ni changa la macho coz hata Note 8 ya GB 32 hupati kwa 380k sembuse Note 9?? Mtoa Mada hiyo Simu kwenye picha ni Og ila sasa utakayoenda kupewa huko Ndo utapigwa kwahiyo Kuwa makini!
CHEAP IS EXPENSIVE![]()
Nataka ninunue Samsung note 9 Ila sijui namna ya kutambua original Na fake specs 8gb ram 512gb rom Na bei 380,000 inapouzwa ( marketplace) Facebook naombeni nisije ingia choo cha kik
Mkuu si unawasha tochi kama unataka kupiga pichame
Me yangu ni S 9+, sema inanizingua kitu kimoja upande wa camera yaani ukitaka kupiga picha usiku haimuliki taa moja kwa moja, ila inatoa mwanga na kutoa baada ya picha, yaani unakuwa kama unabashiri, haya ndo matatizo ya samsung
Duuuh, sijakuelewa, yaani unamaana kuwa niwashe tochi kama tochi pembeni ndipo nipige picha kwa simu hii,Mkuu si unawasha tochi kama unataka kupiga picha
DuuhDuuuh, sijakuelewa, yaani unamaana kuwa niwashe tochi kama tochi pembeni ndipo nipige picha kwa simu hii,
Usumbufu huo wa nini, nataka nirudi kwenye Tecno zetu tulizo zoea maana sujaona utofauti wowote kwenye Samsung na Tecno
Note 8 ya 32GB uliitengeneza wewe maana samsung kwa series kuanzia note 8 na s8 walianzia 64GBMtoa mada kasema Note ila kuna Mazuzu yanachanganya madesa yanasema S9niwaambie kitu Wajuaji wa jf S9 na Note 9 ni Simu mbili tooofauti kabisa! Kwahiyo Note 9 kwa bei hiyo ni changa la macho coz hata Note 8 ya GB 32 hupati kwa 380k sembuse Note 9?? Mtoa Mada hiyo Simu kwenye picha ni Og ila sasa utakayoenda kupewa huko Ndo utapigwa kwahiyo Kuwa makini!
CHEAP IS EXPENSIVE![]()
simu ya miaka 4 nyuma unategemea uuziwe kwa laki 9 hzo bei zake ni kuanzia 380 - 500 ikizid hapo ujue unapigwa wengi wanauziwa simu used za china na USA kwa kigezo cha kuambiwa kuwa ni used from KOREA kisa single lineHamna kitu hapo kwanza bei ya kioo tu cha note 9 ni laki tano na nusu hivi.wewe Leo uuziwe simu kwa 380![]()



Mkuu hamnaga note 8 ya 32 ni kwanzia 64 hadi 256Mtoa mada kasema Note ila kuna Mazuzu yanachanganya madesa yanasema S9niwaambie kitu Wajuaji wa jf S9 na Note 9 ni Simu mbili tooofauti kabisa! Kwahiyo Note 9 kwa bei hiyo ni changa la macho coz hata Note 8 ya GB 32 hupati kwa 380k sembuse Note 9?? Mtoa Mada hiyo Simu kwenye picha ni Og ila sasa utakayoenda kupewa huko Ndo utapigwa kwahiyo Kuwa makini!
CHEAP IS EXPENSIVE![]()
ata mm nimeshangaa..Note 9 kwa 380?
UtajuajeVitu vya kuchek
-imei
-network speed
-camera performance
-refurbished or genuine
-phone status
Over.
Note 10+ 380?Wakuu nimefanikiwa kupata Samsung galaxy note 10 plus kwa sh 380 kitu Chenoweth ram 12 rom 256 marketplace
Hii S9 jamani mbona bei yake imeporomoka ivo ka uchumi wa Tanzania au kuna hitirafu ilivyotengrnezwa au kuna matolea mazuri kushinda s9??? Maana i atangazwa na wengi kwa bei chee sana.