Unakuta raia wakulima na wafugaji wamevamia hifadhi mfano Ruaha Mbeya, Katavi Rukwa, Pori la Tabora, Serengeti Simiyu.., unakuta wanavamia na kuanza shughuli za kibinadam kwa mda hata wa miaka kadhaa na vingine hujengeka na kuwa vijijini. Cha kushangaa ni pale serikali inapoanza kuwafukuza kwa...