Kwa wale wenye kuhitaji Viwanja na Mashamba Kigamboni/New city wilaya mpya

egari

Member
Jan 3, 2017
40
37
Kwa wale wenye uhitaji wa Viwanja na Mashamba maeneo ya Kigambon mnakaribishwa maana kwa kiasi flani bei imeshuka kutokana na hali ya mambo ya fedha yalivyo kwa sas., karibuni sana tujenge pamoja
 
Kwa wale wenye uhitaji wa Viwanja na Mashamba maeneo ya Kigambon mnakaribishwa maana kwa kiasi flani bei imeshuka kutokana na hali ya mambo ya fedha yalivyo kwa sas., karibuni sana tujenge pamoja
Jaribu kutoa details za kutosha, viwanja vipo sehem gani kigamboni, price per sq mt moja, je vimepimwa, Ni kms ngapi toka ferry/darajani, tupe details wengine tuna hitaji plots maeneo hayo. Ikiwezekana toa Na contacts.
 
Viwanja havijapimwa ni kms kuanzia 20 na kuendelea kutoka feri au darajani, maeneo ya mwembe mdogo., barabara ya Tasaf kuelekea Dar es salaam zoo, ukoooni na kisarawe two. Ni maeneo mazuri kwa makazi maana huduma za usafiri kama daladala zinafika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom