Kwa maelezi yako ni kwamba Tundu alijipigisha risasi 16 makusudi tu ili aje kutangaza nia ya kugombea
Mtu mwenye akili nzuri hawezi kuwaza hivi!
Lakini kwani kutangaza nia ya kugombea urais ni kosa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo sio unatumia muda gani kusoma
Swali ni
Je unasoma nini?
Hata usome siku zote 365
Bado huwezi kuwazidi hao wajapan
Sent using Jamii Forums mobile app
Visa vilizidi sana
Nili break baada ya kusafiri nje na kukaa miaka miwili bila mawasiliano nae
Kuanzia hapo sijawahi kupata Mtu aliyeniingia kwenye damu kiasi kile
Na hiyo inanifanya nizidi kubaki single tu
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.