For JamiiForums Mobile users

kigogo warioba

kigogo warioba

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
5,349
2,000
Ombi: Nani aneweza kunielekeza jinsi ya kupost picha niliyoisave kwenye simu, maana kupitia attachment inagoma.
mkuu kama unatumia browser ya operamin ni rahisi fanya kama mimi utaona vitufe vitatu yaani post reply, attach files, na preview utagengesha attach file na hapo utaweza kuona mafaili yaliyoko kwenye simu yako!
 
kigogo warioba

kigogo warioba

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
5,349
2,000
mkuu Khantwe weka [b ] hivi usiachie nafasi mwanzo wa neno ulitakalo na itaonekani hivi!
 
Top Bottom