Mfahamu kinyonga

Mfahamu kinyonga

Write your reply...

Kuna documentary moja niliona ya kinyonga mbona alikua anataga tena ana chimba shimo aridhini ndo anataka alafu anafukia au hao mabeberu wali edit hyo makala
 
Kinyonga wako wanaozaa na wanaotaga mayai.Hao wanaozaa wanazaa kawaida tu aidha juu ya mti au chini kwenye majani au vichaka vidogo,ilo lakuzaa kwakujitupa ili tumbo lipasuke nadhani ni stori za vijiweni tu.
Stori za Magogoni
 
MTOA POST NI MUONGO

juzi tu siki 3 zilizopita huku mtaani kulikuwa na ubishi je kinyonga anazaa au anataga .Kwa bahati nzuri nikawa napita nikaitwa kwakuwa nina smart phone nimalize ubishi kwa kuwaonyesha youtube

Tuliona kinyonga wapo wanaozaa na wanaotaga na hakuna kinyonga eti azae ajiangushe kutoka juu ili apasuke ndio watoto wazaliwe na ubishi ukaishia hapo

Story za mababu vijijini mnatuletea hapa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sifa zingine umezitoa vzr ila No.4 hiyo sio kweli kwamba anapasuka wapo wanaotaga mayai na wapo wanaozaa kawaida bila kupasuka in fact hyo huwaga ni just story its not fact! Tafuta kinyonga anayeitwa Jackson Chamilion utaelewa zaidi
 
MTOA POST NI MUONGO

juzi tu siki 3 zilizopita huku mtaani kulikuwa na ubishi je kinyonga anazaa au anataga .Kwa bahati nzuri nikawa napita nikaitwa kwakuwa nina smart phone nimalize ubishi kwa kuwaonyesha youtube

Tuliona kinyonga wapo wanaozaa na wanaotaga na hakuna kinyonga eti azae ajiangushe kutoka juu ili apasuke ndio watoto wazaliwe na ubishi ukaishia hapo

Story za mababu vijijini mnatuletea hapa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo Lushoto Tanga Wengi2 wanaozaa kikawaida kama viumbe wengine, ndio maana tunahimizwa kila cku kufanya utalii wa ndani, mzungu yupo ujerumani lkn anajua Tz Lushoto kuna vinyonga vya namna iyo lkn Mtanzania bdo ameshikilia hadithi za akina Abunuasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...

Kuna documentary moja niliona ya kinyonga mbona alikua anataga tena ana chimba shimo aridhini ndo anataka alafu anafukia au hao mabeberu wali edit hyo makala
Huyu jamaa ni bonge la muongo, mie binafsi nishashuhudia kwa macho yangu kinyonga huwa anataga sasa huyo anayezaa sijui ni kabila gani...
 
Duh huyu mdudu baada ya mama yangu nadhani huyu ndiye mama bora tena duniani,yaani anajitoa muhanga ili wanae wazaliwe nimewaza tu ingekuwaje kama dada zetu wanavyopenda raha hii scene ingewahusu!

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Kinyonga kinatisha hafu ukigusana naye kwa ngozi anakuachia ile rangi yake hafu huwa anapumua.vibaya kwa nguvu. Ninavo muogopa naweza kufa wallah. Simpendi Mimi
Sio wewe tu, wanawake asilimia kubwa ni waoga wa vinyonga, au kwasababu na nyie ni jamii moja ya vinyonga so mnaogopana... Hahahahahahahahaha am kidding

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom