Recent content by Edwin Chapa

  1. E

    JamiiForums Tanzania Je ingekuwa wewe utafanyaje?

    Habari! Hivi ikitokea siku mwizi akaja akakuibia dhambi zako zoote ulizokuwa nazo...je utafanyaje? Utapiga kelele za mwizi mwizi...?au Utafurahia..? Nipo Mbeya City
  2. E

    JamiiForums Tanzania Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    Mtombaji..upo huko Ifakara
  3. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mpaka huku??

    Wadau mi nipo huku Morogoro,Wilaya ya Morogoro Kusini,Kata ya Mtombozi,Tarafa ya Mtombozi,Kijiji cha Nemele,Mwenyekiti wa hiki kijiji ni Mwanachama wa Chadema na ndo wanaongoza hapa kijijini,tena ni kijana ana umri wa miaka 27 tu..nimeambiwa katika uchaguzi uliopita alishndana na Babu yake Mzaa...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Taja hata moja tu!

    Dengelua Boha Kirumbi Kabungusi
  5. E

    JamiiForums Tanzania Je ingekuwa ni wewe ungeweza??

    natumia phone nimeshndwa kufanya editing
  6. E

    JamiiForums Tanzania Je ingekuwa ni wewe ungeweza??

    ANAKUFUMANIA: Analia, ananyamaza, anasononeka, unambembeleza anakuelewa anakusamehe halafu anasahau na anaendelea kukupenda!!! ... UNAZAA NJE YA NDOA: Anasononeka na kulia sana. Anakuchukia lakini baadaye anakusamehe. Halafu analea mtoto uliyemzaa nje kwa upendo. Kama ni kuchukiwa atachukiwa...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Kaka na Dada wapeana mimba

    hv ni halali kwa ndugu kama hao kuoana?
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kaka na Dada wapeana mimba

    Katika hali isiyo ya kawaida,kaka na dada ambao mama zao ni mkubwa na mdogo wamepeana mimba,stori yenyewe ilikuwa hivi,huyu msichana aliyepewa mimba alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na kaka yake yaani mtoto wa mama yake mkubwa ambaye ni tumbo moja na mama yake mzazi, kipindi wapo katika...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Arusha yarindima kwa risasi! Jambazi laua polisi

    Jambazi aua maofisa wa polisi Arusha MTU anayedaiwa kuwa ni jambazi sugu amemuua kwa kumpiga risasi askari polisi mmoja na kumjeruhi Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Wilaya ya Arusha, katika tukio la kurushiana risasi lililotokea usiku wa kuamkia jana. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Huyajui maeneo haya!?Basi huifaham Dsm.

    Siyo Mburahati kwa Bitikaenga,bali Kigogo Luhanga kwa Bitikahenga
  11. E

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa maajabu 2011

    MWAKA WA MAAJABU 2011. Chukua tarakimu mbili za mwisho za mwaka uliozaliwa,jumlisha na umri ulionao utapata jibu kuwa ni 111, unajua maana ya namba hz? kama jibu lisipokuja hlo unadanganya umri!
  12. E

    JamiiForums Tanzania Simu aina ya IDEOS with GOOGLE inauzwa sh.Laki na nusu(150,000)

    Simu aina ya IDEOS inatumia laini zote haichagui,unapata betri mbili na chaja yake kwa kiasi cha sh.laki moja na nusu,namba yangu ni 0713542446
  13. E

    JamiiForums Tanzania Jee mshtakiwa no X alikuwa nani katika kesi ya uhaini ya Karume?

    great,greater,greatest thinker
  14. E

    JamiiForums Tanzania Simu aina ya IDEOS inauzwa

    Duuuuhh!
Back
Top Bottom