Simu aina ya IDEOS inauzwa

Edwin Chapa

Member
Jun 3, 2011
54
12
Nauza simu aina ya IDEOS with Google kwa kiasi cha sh. Laki moja inatumia line zote napatikana kwa namba 0713542446
 
Mkuu mi nipo mza,je waweza kuituma kwa bus la allys niicheki then tuongee biashara?
 
all the best hus, akiingia mkenge kachukue maana hako ka-mobitel ni kazuri, katakusaidia sana.

hahahahaha! Mi sikajui hata kanafananaje. Jamaa mwenyewe mjanja mjanja. Unaona hapo chini anauliza elf 50 na nin kingne. Lol.
 
hahahahaha! Mi sikajui hata kanafananaje. Jamaa mwenyewe mjanja mjanja. Unaona hapo chini anauliza elf 50 na nin kingne. Lol.

dada mbona umestuka. Ongea naye vizuri akueleze hicho kingine ni kinini!. Pengine atapenda hicho kingine akupe simu bure.
 
hoya unayo pc moja tu?kama itakuwa bado haijapata mteja,ntakucheki tarehe 26 mwezi huu,kwa inf zaidi ni sms kwenye 0755065418,naipenda sana hyo cmu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom