Mwaka wa maajabu 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwaka wa maajabu 2011

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Edwin Chapa, Dec 31, 2011.

 1. E

  Edwin Chapa Member

  #1
  Dec 31, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MWAKA WA MAAJABU 2011. Chukua
  tarakimu mbili za mwisho za mwaka
  uliozaliwa,jumlisha na umri ulionao
  utapata jibu kuwa ni 111, unajua
  maana ya namba hz? kama jibu
  lisipokuja hlo unadanganya umri!
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,577
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  i see ni kweli mwaka wa maajabu na ndio maana ulikuwa umekaa kushoto kushoto tu
   
 3. M

  Makupa JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Maajabu yenyewe ni pamoja na Watanzania kurudi kwenye zama za.stone age yaani (bubu wa Loliondo)
   
Loading...