Recent content by Edna04

  1. Edna04

    Zitto Kabwe: Tukemee wabakaji kusamehewa kiholela

    Mimi binafsi nampongeza Rais haijawai tokea waliohukumiwa kunyongwa na vifungo vya maisha kupata msamaha Jamani Rais ametenda jambo jema tumpongeze
  2. Edna04

    Msaada: Nimetumiwa pesa kimakosa

    We subiri mpk kesho watakuwa wamesha itoa [emoji122] [emoji122] Kwa uaminifu utazidishiwa
  3. Edna04

    Mambosasa: Kilichopelekea mwanafunzi wa UDSM akamatwe ni kusambaza uzushi mtandaoni

    Ni bora tahadhari kabla ya hatari wahusika wa hilo jengo wanadanganya uma hiyo mwanafunzi sio mzushi uzushi ni kusema neno ambalo halipo sasa huo ufa Mkubwa kabisa unaonekana wakuchukuliwa hatua ni mkandarasi
  4. Edna04

    David Kafulila ajiunga rasmi na CCM huko Mbweni jijini Dar

    Bora ulivyo amua kuja ccm hongera kwako kafulila ulipoteza Muda kwenda chadema
  5. Edna04

    Maoni ya watu maarufu baada ya hukumu ya Lulu

    Hao wasanii wanafiki wengine hata mahakamani walikuwa hawaendi Muda huu wanajifanya wameumia acheni unafiki rafiki Wa kweli ni yule anaekujali wakati Wa shida
  6. Edna04

    BABATI: Askari wa FFU amuua mzazi mwenzake kwa kumshona risasi nne akiwa lindoni benki ya NMB

    Mungu wape faraja wafiwa,Pia si vema kuwafata askari malindoni unaweza kukuta nae ana magum kibao ukimsemesha kidogo ikawa shida
  7. Edna04

    Nyie wanaume kwanini hamjali wazazi wenu?

    Ni kweli kabisa kuna kaka ni mfanya biashara yuko Geita ni tajiri lakini kwao nyumba ni mbovu baba yake mzazi amefariki waliomsindikiza hawakuamini hata choo hakuna wanajisaidia shambani kwao ni kigoma kijiji cha kwaga
  8. Edna04

    Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

    Chapati tam hata kwa kuziangalia wengi hushindwa kuzipika vzr Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Edna04

    Jinsi ya kupika chapati laini na zenye ladha nzuri

    Chapati tam hata kwa kuziangalia wengi hushindwa kuzipika vzr u Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Edna04

    Timu ya Waziri Ummy yaanza uchunguzi wa kuibiwa mtoto Hospitali ya Temeke

    Nina wasiwasi na alie soma utrasaud opareshen za sasa unakuwa macho sio rahisi kuibiwa mtoto hao walio soma utrasaud hawakuwa makini
  11. Edna04

    Askofu Gwajima yuko njiani anaelekea msiba wa Ndesamburo, Moshi

    Tusifike huko msiba hauna chama hii dhambi ya ubaguzi ni hatari sana pia tusibeze watumishi wa mungu
  12. Edna04

    Aina nyingine ya vyeti feki: waliorudia darasa la saba na jina la aliyeacha shule

    Duu hawa waliofanya kazi miaka 30 mpk 35 wamebakiza miaka 5 wastaafu wangewaacha wakawapa mafao yao mfano nesi kahudumia wagonjwa miaka 35 yamkini kapata maambukizi ya hiv anafukuzwa bila mafao kweli?
  13. Edna04

    Miliki Nyumba mpya kwa milion 32 tu

    Si wamesema malipo ni kidogo kidogo?
  14. Edna04

    Kuombewa na mtumishi wa Mungu GeorDavie ni laki moja kwa kila mtu

    Hao watumishi wamuogope mungu kuchangia hata laki 2 au zaidi mtu anatoa kama kuchangia ujenzi wa kanisa / nyumba ya mchungaji nk lakini kiingilio cha kuombewa hapana huo ni ujambazi kabisa
  15. Edna04

    Diamond Platnumz adaiwa kodi Sh. Milioni 400 na TRA

    [emoji106][emoji106] mjenga nchi ni mwana nchi
Back
Top Bottom