Askofu Gwajima yuko njiani anaelekea msiba wa Ndesamburo, Moshi

FB_IMG_1496651366398.jpg
 
Tusifike huko msiba hauna chama hii dhambi ya ubaguzi ni hatari sana pia tusibeze watumishi wa mungu
 
Muda si punde askofu huyu kiboko ya Bashite ametua uwanja wa KIA tayari kuelekea Moshi kuhudhuria msiba wa babu yetu kipenzi Ndesa pesa.

Mungu awajaalie wote walioko njiani kuhudhuria kumuaga mpendwa wetu.

Daima tutamkumbuka kwa mengi na hasa moyo wake mkunjufu wa kusaidia
Safi sana

Ova
 
Back
Top Bottom