Hapa Mimi naona tatizo NYOTA Kama vipi jaribu kuisafisha kulingana NA imani yako imesimamia upande upi! Namaanisha kwa MAOMBI kumuomba M/Mungu au kwa mganga
Habari za leo! Naitwa Edison Ernest nipo dares salaam, Mimi ninahitaji kujiajiri kwa kufanya biashara, mpaka sasa ninamtaji Wa sh,400,000 laki 4 lakini sijuwi nifanye biashara gani naombeni ushauri wakuu. Ahsanteni!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.