Naombeni Ushauri

Nov 4, 2019
10
2
Habari za leo! Naitwa Edison Ernest nipo dares salaam, Mimi ninahitaji kujiajiri kwa kufanya biashara, mpaka sasa ninamtaji Wa sh,400,000 laki 4 lakini sijuwi nifanye biashara gani naombeni ushauri wakuu. Ahsanteni!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom