Recent content by EDIBIL MJENJWA

  1. EDIBIL MJENJWA

    Lowassa ameona njaa Bukoba ila Monduli hajaiona! Ama ilikuwa technic?

    mlidanganya tanzania mpya inakuja na umaskini unapungua lkn hkuna llote mara viwanda mwaka umeisha badala ya kuajili mnawaachisha. mliahd hakuna mwanafunz atakae kosa mkopo sasa ni shda du kumbe pushap zile zlikua kuongeza nguvu za ki**me
  2. EDIBIL MJENJWA

    Baa la njaa: Handeni maembe yawa chakula kikuu

    du sijui umeenda shule gani. embe ni chakula kwa misingi ipi. embe ni tunda na hutumika kama kirutubisho tu katika mwili na hata ule vipi embe haikai tumboni ili kukuletea nguvu kama wanga ndugu kasome darasa la nne utaambiwa tofauti kati ya matunda na vyakula
  3. EDIBIL MJENJWA

    Wanaccm tuna nafasi ya kumshauri mkuu , tufanye hivyo kwa faida ya chama na taifa letu

    WANACCM wenye akili wamchoka Pombe? Waanza kufunguka hadharani[emoji116][emoji116] ....Shikamoo Kilimba WANACCM TUNA NAFASI YA KUMSHAURI MKUU , TUFANYE HIVYO KWA FAIDA YA CHAMA NA TAIFA LETU. Ndugu wanaCCM wenzangu kwa unyenyekevu na upendo mkubwa nawasalimu sana hongereni kwa majukumu ya...
  4. EDIBIL MJENJWA

    Sheikh Mkuu DSM: Diamond acha utani na Mungu, utapotea

    mwenye kosa ni nan kwani kwa dini unayoamini ww anachofanya diamond au na wasanii wa muziki unaona mungu anahusika
  5. EDIBIL MJENJWA

    Kwa hali ilivyo, mikutano ya siasa ikiruhusiwa inaweza kuleta balaa

    unaposikia kitu kipya unaelewaje mana hata kinyesi kipo kipya .ujinga pia upo mpya udikteta ukifika pia n mpya. uhaba wa chakula ukiikumba tz piq n mpya sasa unaposema tz mpya uwe makini sana. rais hajakosea aliposema tz mpya inakuja ila watu hamkuelewa upya huo ni upi ila walioelewa waliukataa...
  6. EDIBIL MJENJWA

    Profesa Muhongo alivyoshiriki kupandisha bei ya umeme

    mhuuu sio ki rahisi hivo eti ndio niamini eti ccm imekua bora hapana
  7. EDIBIL MJENJWA

    Matajiri ambao ni Maadui wa Magufuli ni wengi kiasi hiki?

    acha hzo m nilidhani kua hua ni kweli lkn hamna lolote. nmegundua mtu huyu anapenda sana kiki za kila siku mana utamuona akifanya vituko kama msanii fulani mara kala mgahawani, mala kabrashi viatu kupiga kengere mara msema kwel m mpnzi waungu. ila kiukweli kama unapewa mtu kanunua magazeti hiyo...
  8. EDIBIL MJENJWA

    Waziri Mkuu aliyefanya kazi chini ya kiwango tokea Uhuru wa Tanganyika

    mali za lowasa unajua chanzo chake? kwani m cjaelewa hv umaskini ndio uadilifu. kaangalie pnda aliingia na nn na sasa ana nn
  9. EDIBIL MJENJWA

    Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

    ukisema ya lema ni upumbavu nadhani hata ya kwako ni ya kipumbavu piq
  10. EDIBIL MJENJWA

    WASOMI WETU MNATAKIWA MZUNGUMZE HIVI.

    WANA JF TAFADHALI NIMEAHINDWA KUJIBU SWALI LA HUYU . NCHI IMEPINDA KIVIPI?
  11. EDIBIL MJENJWA

    Huu msalaba wa Maamuzi mabovu unabebwa na nani? - Zitto Kabwe

    ukiona ndege sio n muhimu nikuulize kitu. wanao wakose ada wakae nyumbani wakitizama tv eti pesa yote umenunua snart phone halafu tukuone eti unaakili. sikatai ndege ni muhimu lkn angalia muhimu zaidi kupanga n kuchagua lkn unaweza kuchagua kibovu
  12. EDIBIL MJENJWA

    Italia kuwajengea nyumba wahanga wa tetemeko la ardhi

    kwani haiwezi kujenga mbona watu wanajenga ndio mana wanasema hatujengi majumba ya kifahari bali sehemu ya kuwasitiri watu wakati wakijipanga mbona hata hzo ndogo hazikutolewa
  13. EDIBIL MJENJWA

    Hotuba za Rais zimejaa Hofu na hazina Matumaini

    kwa unavyodhani ww tangu uhuru watu walikua hawafanyi kazi. acheni utoto kazi gani anazitaka yeye huwezi sema fanya kazi bila kusema kazi gani wakati akisisitiza kazi yeye anazuia ajira sasa sijui kazi gani anataka watu wafanye. kweli hapo kichwa cha ....zi.
  14. EDIBIL MJENJWA

    Kubenea na gazeti lake la mwanahalisi limepoteza weledi wake

    ndugu hata ww hueleweki mana naona unarudia rudia maneno hadi yanaboa. ila ni mawazo yako siolazima tuyakubali coz unauhuru huo hakuna shda mmnika tu
  15. EDIBIL MJENJWA

    Natamani kuwa mtu wa kusaidia jamii

    ndio maana nimeomba mwenye nia hiyo tuwasiliane
Back
Top Bottom