Hotuba za Rais zimejaa Hofu na hazina Matumaini

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
50,987
2,000
Hotuba za JPM hazina matumaini kwa mwananchi wa kawaida.
Sioni rais akiongelea kitu ambacho hajawahi kukiongelea, ndege ameshaongea.

Kuna mambo Muhimu ambayo wananchi wana hamu ya kuyasikia ila wakimuangalia rais kiukweli huyu hana msaada kwa maisha ya sasa ya watanzania.

Ajira zilizositishwa. Hapa rais anachukulia mzaha ila kuna kundi kubwa sana linaumia.

Uhuru wa vyombo vya habari, tulitegemea rais agusie kidogo kwenye hotuba zake ila hana time .

Maisha kuwa magumu.
Hapa ndio tatizo liko hapa, huyu JPM ni kama yupo Kenya, anayoyaongea na anachokiamini na uhalisia ni kama mbingu na bahari.

Ninachokiona kundi kubwa la watanzania hawana matumaini kabisa.

Kilichobaki tu wanaomba sasa hivi siku zikimbie ifike mwaka 2020.

Ni mtizamo wangu naweza kupingwa.
 
chikundi

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
8,245
2,000
kama saivi mnaona bora kikwete ubaya wa lowasa ni upi, kuna mdau alisema mzungu katutesa katubagua akaleta ukristu tukaupokea na saivi tunamsujudu lakini lowasa usiyekiwa na uhakika na madhambi yake unaona hafai get out of the prison of your mind.
Hafai kwa sab ni mmoja kati ya mafisadi papa wa ccm kwahiyo hakuna tofauti na ccm iliyopo madarakani. Tunataka mtu ambaye hana harufu ya ccm.
 
Mzee wa Masauti

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
2,202
2,000
Hotuba za JPM hazina matumaini kwa mwananchi wa kawaida.
Sioni rais akiongelea kitu ambacho hajawahi kukiongelea, ndege ameshaongea.
Kuna mambo Muhimu ambayo wananchi wana hamu ya kuyasikia ila wakimuangalia rais kiukweli huyu hana msaada kwa maisha ya sasa ya watanzania.
Ajira zilizositishwa. Hapa rais anachukulia mzaha ila kuna kundi kubwa sana linaumia.
Uhuru wa vyombo vya habari, tulitegemea rais agusie kidogo kwenye hotuba zake ila hana time .

Maisha kuwa magumu.
Hapa ndio tatizo liko hapa, huyu JPM ni kama yupo Kenya, anayoyaongea na anachokiamini na uhalisia ni kama mbingu na bahari.
Ninachokiona kundi kubwa la watanzania hawana matumaini kabisa.
Kilichobaki tu wanaomba sasa hivi siku zikimbie ifike mwaka 2020.

Ni mtizamo wangu naweza kupingwa.
tangu nilipogundua uwezo wa kiuongozi ni mdogo, hata kumsikiliza simsikilizi kabisa.

nikiona anaongea nazima tv au nabadili channel
 
Oct 30, 2016
60
125
Matumaini yapo makubwa sana ktk hotuba zake.

Anasisitiza tu kufanya kazi kwa bidii na kufuata sheria ndiyo silaha ya mafanikio.
kwa unavyodhani ww tangu uhuru watu walikua hawafanyi kazi. acheni utoto kazi gani anazitaka yeye huwezi sema fanya kazi bila kusema kazi gani wakati akisisitiza kazi yeye anazuia ajira sasa sijui kazi gani anataka watu wafanye. kweli hapo kichwa cha ....zi.
 
chikundi

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
8,245
2,000
kwa unavyodhani ww tangu uhuru watu walikua hawafanyi kazi. acheni utoto kazi gani anazitaka yeye huwezi sema fanya kazi bila kusema kazi gani wakati akisisitiza kazi yeye anazuia ajira sasa sijui kazi gani anataka watu wafanye. kweli hapo kichwa cha ....zi.
Watanzania ina watu wangapi wenye uwezo wa kufanya kazi na serikali ina uwezo wa kuajiri watu wangapi?
 
MLAU

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
4,727
2,000
kwa unavyodhani ww tangu uhuru watu walikua hawafanyi kazi. acheni utoto kazi gani anazitaka yeye huwezi sema fanya kazi bila kusema kazi gani wakati akisisitiza kazi yeye anazuia ajira sasa sijui kazi gani anataka watu wafanye. kweli hapo kichwa cha ....zi.
Changamoto ya Tanzania
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom