Italia kuwajengea nyumba wahanga wa tetemeko la ardhi

Kwa hiki kilichoonyeshwa Bukoba huenda kikawafanya wananchi kuwa wagumu kuchangia maafa huko mbeleni kwa kuhofia michango yao kuchukuliwa kwenda kufanya yaliyokuwa kinyume na lengo la michango yenyewe.
hawana sababu , wanasingizia eti hata Italia hawakuwajengea watu wao nyumba wakati sio sahihi. Serikali ijipange , IPO Siku hata hao maskini ambao ndio mtaji wao watawakataa.
 
Hiyo pesa inatosha kununua simenti mabati na vifaa vinginevyo.........

Sasa kama una vifaa unashindwaje kujenga Nyumba ndogo ya kukaa ..

Kuliko kulala nje.......
kabisa mkuu, pia watu baada ya kusikia serikali imekwapua misaada wakaacha kutoa..
 
Nimesikia serikali ikitoa mfano kuwa hata Italia serikali haikuwajengea wananchi makazi yao. Lakini kauli hiyo si kweli kwani serikali ya Italia imesema itajenga kila kitu upya katika eneo lililopatwa na tetemeko.

Swali : Serikali imepata wapi taarifa hizo zisizo sahihi na kumpa mkuu azitumie?

Hata kama rambirambi hazikufika , serikali isitafute mchawi, wananchi was kagera hatuhitaji kujengewa nyumba zetu bali tunahitaji ushirika na serikali kuhakikisha tunafarijika na tunapata nguvu ya kujenga nyumba nzuri zaidi.

Italian prime minister promises to rebuild after powerful quake

Sasa wewe unajilinganisha na Italia, natamani tungetawaliwa na Idd Amin ili tujitambue, watzd wengi tunategemea akili za watu wengine kufikiri
 
Nyumba bilion 16,000,000,000/2000= 8,000,000

Hii pesa ingetosha kwa kila kaya kujengewa nyumba angalau ndogo wakati wakijipanga........

Swala la kuhoji kwanini serikali ichangiwe pesa na wananchi ya kujenga miundombinu wakati wananchi waliochangiwa wanalala nje?.........
Acha ujinga, unajengaje nyumba ya milioni nane?? Labda zizi la ng'ombe.
Acheni kujitoa ufahamu!!
 
Tatizo hiyo michango aliomba tuchange ili kuwasaidia wahanga imeenda wapi? Aliomba kwa lengo moja tu kuwasaidia wahanga na si vinginevyo
 
Inawezeana kujengwa kwani serikali inawakandalasi wake ambao itawatumia
Haiwezekani, usiwe mbishi! Labda ujenge kibanda ambacho kikipitiwa na kimbunga ni janga lingine, na likatokea janga jingine sababu ya "nyumba" mbovu kujengwa mtakuja na topic yenu tena, inakuwaje walijenga nyumba zisizo bora!!

Alafu huyo waziri mkuu wa italy nyumba anazojenga tena ni za "serikali" obvious, sio za raia/ sio za watu binafsi.
 
Nyumba ya shilingi milioni nane inajengwaje mjini? Mnapenda sana kurahisisha mambo.
kwani haiwezi kujenga mbona watu wanajenga ndio mana wanasema hatujengi majumba ya kifahari bali sehemu ya kuwasitiri watu wakati wakijipanga mbona hata hzo ndogo hazikutolewa
 
Hii mada itapeleka mtu jela mda sio mrefu.

Mimi sichangii chochote sina hata mia ya kunisaidia nikiwa jela.

Sio jambo jema kumpinga mtukufu wetu tena kwa ushahidi baada ya yeye kudai dunia nzima hakuna mahala wanajenga nyumba za tetemeko la ardhi.

Mtoa mada ntakuja segerea kukuletea ndizi na maembe.
mkuu mwenye kosa sio Rais, ni wasaidizi wake ambao hawampi rais taarifa sahihi. Rais ni rmtaasisi..
 
Katika vitu ilivyocheza ni kutangaza haitajengea mtu nyumba. Huezi fananisha tanzania na italia wenzetu wanarecords za majengo na ubora wa jengo iliokua nao tofauti na sisi ukisema saiz utajenga nyumba watu watajinufaisha ata kama hawahusiki ata aliebomokewa na banda la ngombe nae ataomba mgao. Wapo watakaobeba vifusi kuvipeleka kwenye viwanja hewa ijapokua utambuzi ushafanyika watz hasiti kuupindisha. Kwa ufupi nadhani serikali inajaribu kuwakatisha tamaa wapiga dili
 
We ndo lijinga la mwisho kabisa, na hujui lolote kazi kupayuka....
Tatizo unaishi kijijini, mjini na simaanishi Dar, mjini hata Bukoba na viunga vyake haujengi nyumba bora kwa milioni 8, njoo mjini ujue mambo! Mjini sio Dar tu hata hapo maeneo ya Kaitaba utapata kitu cha kuongeza kwenye akili yako.
 
Back
Top Bottom