Aventus
JF-Expert Member
- Mar 8, 2013
- 2,011
- 2,165
For the very first time.., nasema wazi.., nimeshindwa kumuelewa Saeed Kubenea na gazeti lake la Mwanahalisi.., Kubenea anaendeshwa na chuki..., tena chuki zimekula weledi wa taaluma yake ya uandishi wa habari.., siyo mweledi tena!
.., gazeti la Mwanahalisi limekuwa gazeti kubwa sana kwa kuandika habari za kiuchunguzi.., leo linakuja na habari za udaku na uchochoroni.., bia kiwa na ushahidi wa kimantiki, Bila facts.., yaani Mwanahalisi leo wanatumia vyanzo vya habari vya vijiweni!? Kubenea amewahi kuandika habari nyingi za maana.., hii ya leo inamshusha kabisa.., Kubenea anaendelea na vita yake na Ben ile ya awali.., weledi kwenye habari hii haupo..,
..., Eti waliokota karatasi iliyorushwa mlangoni, katika ofisi yao.., ndiyo chanzo cha taarifa ya Ben kuonekana mtaani... Aibu hii imtafune Kubenea.., (huyu mtu ameleta zile 'bifu' zake na Ben hadi kufikia kumfungia, kumpiga Ban kwenye Mwanahalisi Forum).., siyo weledi wa kiuandishi..
Mwanahalisi wameandika habari nyingi sana za kiuchunguzi.., habari kubwa.., hadi kufungiwa kwa gazeti lao hilo.., Kama unakumbuka habari ya sakata la RICHMOND na ESCROW.., walikuja na habari hadi zenye vyanzo kutoka USA.., wakituma waandishi wao mahiri na uchunguzi mkubwa sana.., kuhusu hili la BEN.., hata chanzo chao cha habari ni very weak.., eti wanaandika 'mtu alitupa andiko kwenye mlango lenye kuonesha Ben kuonekana vijiweni'.., AIBU hii.., Mwanahalisi hapa wamekwenda chaka..., kwa sababu walikuja na 'alerts' wiki moja kabla ya leo..., Leo wanakuja na habari ambayo bado inaelea hewani..,
Kubenea amejifedhehesha kwa ripoti hii.
Kwanza ali'create attention ya watu kwamba analeta taarifa kamili juu ya kutoweka kwa Ben na pia kujificha na hata kuonekana akirandaranda mitaani..
Pili credibility yake kwa watu juu ya taarifa za kiuchunguzi ni kubwa sana.
Haikutarajiwa alete udaku kama huu mbele za watu wanaomuamini..., nadhani anapaswa kuchunguzwa na yeye juu ya suala hili la kupotea kwa Ben-Rabiu Wa Saanane Maana kwa taarifa hii anaweza akawa na maslahi au na lolote la ziada juu ya kutoonekana kwa Ben.
.., nitasema mengine mengi nikitulia.., bado sasa hivi naendelea kuwaza hayo mambo, nikimaliza kunywa maji, nitasema kitu kwa undani kuhusu 'andishi' hilo la Kubenea na Mwanahalisi yake!
Martin Maranja Masese (MMM)